Sikujua kuwa jina langu humu JF lina ukakasi nasikitika sana

Ndugu zangu sikujua kuwa jina langu lina ukakasi humu

Kuna wakati nilikua napata mashambulizi ya maneno humu na shutuma za uwongo uwongo.

Nikajiuliza kulikoni?Leo ndo nimejua ukweli

Maana sababu ya kujiita hili jina niliwaza nitatumia jina gani JF nikawa naumiza kichwa lakini kipindi hicho bidhaa iliyokua inatrend sana sokoni ni kipodozi cha Toplemon sasa nikiwa nawaza nitumie ID gani humu?

Nakumbuka nilikua dukani kwa anko nauza vipodozi kila muda watu walikua wakija wanaulizia vipodozi kuna dada mmoja alikua anachukua vipodozi vya toplemon kiasi kwamba ikawa akiniona ataniita toplemon kama lugha ya utani mwishowe yule mama akawa ni mteja wetu na ikazoeleka hivyo

Na mimi nikasema ngoja hilo jina la toplemon nilitumie humu jf mwanzo sikupata shida nilishangaa siku za karibuni watu wananishambulia na hili jina sikua naelewa mwishoni nikashangaa baadhi ya watu wanakuja pm kunitongoza

Sikujua jina langu linarelate na maana na maudhui ya jinsia moja nimesikitika sana, ujinga mtupu mtu anakuja pm kabisa anadhani na wewe ni wale wale

Imefika mahali nashindwa hata kupost jambo humu jf maana wapo wanaonishambulia kwa maneno

Nimesikitika sana
Mbona hili tangazo la bishara mkuu? Umelipia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanavunga kujulikana, mbaya zaidi aliyemla ndo ana mtangaza kwa wana, ni versatile afu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee jf inazidi kunishangaza, kumbe mnajuana kiundani hivo!!

Ni nani huyo choko!! Maana wadau kwa kuonesha umwamba wa story kukojoza ni hatari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina kila watu hii, huyo mwenyewe akijitutumuagaa na story zakee, huwa nachekaaaa sanaaaa lol.

Kuto kujikubaliii ni jangaaaa. Uwiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hunioni mimi na jina langu na hakuna mtu anaye nizingua wala nini yani nakushauri acha jina hilo hilo watakukubali tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina kila watu hii, huyo mwenyewe akijitutumuagaa na story zakee, huwa nachekaaaa sanaaaa lol.

Kuto kujikubaliii ni jangaaaa. Uwiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
Aloo asije kua huyu ninaemuhisi, huenda ndie huyu huyu.

Hatukatai wanaume hupenda kujisifu kua kakojoza, kafikisha kileleni nk. Lakini ikiwa too much huwa kunakua na walakin.

Wacha inyeshe tuone pavujapo, kuna mambo huwezi ficha. Kuna siku utalipuliwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanzo wakat fulan alimfata mdada pm kutafutiwa mtu wa kumpalasa, akampata huyo jamaa, baada ya kuliwa wakatibuana, sasa yule mlaji akamuambia atamtangaza, ndo jamaa akajiwahi kujionesha km rijali majukwaani, ili skendo ikivuma watu waone ni uongo.

Kweli wengi wanamuona wa maana, ila sisi wajanja tunamjua km engine ya nyuma haifanyi kazi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Had text kwa mdada wa kumtafutia bwana zipo, text za kwa mlaji zipooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaishia kusemaaaa hiiiii

Jitaidi kidogo uwe na kifua na mambo ya watu [emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanzo wakat fulan alimfata mdada pm kutafutiwa mtu wa kumpalasa, akampata huyo jamaa, baada ya kuliwa wakatibuana, sasa yule mlaji akamuambia atamtangaza, ndo jamaa akajiwahi kujionesha km rijali majukwaani, ili skendo ikivuma watu waone ni uongo.

Kweli wengi wanamuona wa maana, ila sisi wajanja tunamjua km engine ya nyuma haifanyi kazi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Had text kwa mdada wa kumtafutia bwana zipo, text za kwa mlaji zipooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaishia kusemaaaa hiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh aisee sasa kwanini anakikimbia kivuli chake!??

Tudirect kwenye huo uzi wake wa kujisifia
 
Back
Top Bottom