Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

naomba unisaidie jinsi ya kuandika barua ya kuahirisha mwaka

wewe unasoma nini? mbona kilaza hicyo, kwanini usiandike mwenyewe? madesa tuu! na haikosi unamkopo hapo ulipo.......... ANGUKO LA ELIMU, COLLEGE STUDENT HAWEZI ANDIKA BARUA!!

SP
 
naomba unisaidie jinsi ya kuandika barua ya kuahirisha mwaka
Badala ya kuomba uelekezwe namna ya kuandika barua ya kuahirisha mwaka, omba uelekezwe namna ya kuandika barua ya kukata rufaa. Una sifa zote za kupata mkopo. Kata rufaa, kwa hakika utafikiriwa.
 
Apex umekuja na maelezo mengi lakini hujasema ni kwa namna gani (kwa kutoa vigezo) wewe ulistahili kupewa mkopo ukanyimwa, ni mapema kusikitika na wewe kama hujaweka mambo sawa tujue kama kuna vijana wana sifa za kupewa mikopo lakini kwa unyonge wao wanavyimwa.

Mwisho kabisa, mimi nikiwa na tabia za kupenda kutokuwapa haki watu hii ni tabia yangu na sidhani kama inauhusiano na mrengo wangu wa itikadi ya kisiasa
 
Last edited by a moderator:
Kaka hii cccm acha tu na hapo kinana anasema kichwa chake hakina kwasababu ya matatizo ya watz.

By the way ushauri jaribu kufuatilia.usipanic utapata tu.
 

Wewe Ndugu hujui shida na hujaelimika pia mtoa mada kasema amefanya mpaka uchuuzi katunza kiasi cha 200000tsh wewe unachotaka kusema hahitaji kupewa haki yake??? GAMBA KUBWA WEE...
 
Pole sana kijana,,, lakini nahisi na msimamo juu ya kuikacha ccm,
Kilicho kukimbiza hapo ni mkopo na si kitu kingine,,, inamaana ungepewa mkopo wewe na ccm damdam!
Kwa maana hiyo muda woooote ulikua hujajua ubaya wa ccm n mpaka pale tu walipo kunyima pesa,,,
 

Pole sana, yataisha tu ndugu yangu, bado lipo tumaini, magumu huja ili kutufanya tuwe strong, naomba chuo kikifunguliwa wahi chuo, nenda kwa Dean of students mueleze changamoto yako, andika barua ya appeal umwombe apige mhuri, upeleke loan board kanda ya dodoma(peleka mwenyewe). Utapata haki yako ila kwa kuchelewa.
 

Ndio maana waliweka nafasi ya rufaa. Kata rufaa na ambatanisha nukuhuu za vipengele katika vigezo vya kupewa mkopo kama vilivyoainishwa kwenye sheria ya vigezo vya kupewa mkopo. Usiandike malalamiko, bali toa hoja inayopinga wewe kutopewa mkopo ingawa, unavyodai, ulikuwa na vigezo. Usiwe kama mtu asiye na elimu, kukesha kulaumulaumu huku wengine wanafurahia nafasi yako. Kata rufaa mapema
 
Dah pole sana, nakumbuka mwaka jana skufanya application nilikuwa na machungu sana nimekaa mtaani spend sana kukumbuka ila namshukuru Mungu nimeanza mwaka wa 1 usijal ndugu yangu utafanikiwa nawe pia.
 
no usihairishe mwaka.nenda ka apeal coz una vigezo vyote vya kupata mkopo

sijui ata jinsi ya kuapeal..alafu pia tcu walimilazimisha kuchagua faculty moja tu ambayo ni non-priority naona ata nikiapeal siwezi kupata,japokua nmesoma goverment schools,nilifaulu vzur na pia nna single parent,.
 

jemsi upo wapiii? Nataka nikuulize swali ju ya huyu classmate wako
 
Wewe Ndugu hujui
shida na hujaelimika pia mtoa mada kasema amefanya mpaka uchuuzi katunza
kiasi cha 200000tsh wewe unachotaka kusema hahitaji kupewa haki yake???
GAMBA KUBWA WEE...

nimeamini hapa duniani kuna watu hawajui kabisa kitu kinachoitwa shida
 

hv ww una akili kwl?mwnzko analeta thread yny uzuni unamletea maneno ya taarabu.au mwnz2 unakaa xana uwani!!mwnangu ww choko xana.co cri umeniboa xana.
 
UKijua udhaifu wa adui yako ndio utamshinda vinginevyo na wewe utakua unaimba taarabu tu.
Wapinzani tumien udhaifu huo kung'oa hii mizizi ya chama cha madawa.
 
jemsi upo wapiii? Nataka nikuulize swali ju ya huyu classmate wako

(nakuomba uni pm kwa hilo swal lako) we wacha tu,aliniambia eti serikali ya sasa ni sikivu kwa upande wa elimu,
na kwel ameona usikivu wake.
KAMA HAWATAKI KUCHUKUA KADI YA CHAMA NA WANYIMWE TU.
 
Mkuu nimekuelewa sana kwa sababu hata mi napitia katika wakat mgum sana,kwa wale wenzetu wasiojua hali halisi ya shida wanaandika tu wanavyojisikia,tuendelee kumwomba Mungu kamanda wangu,.sio siri nimejisikia kulia kwasababu najua uhalisia wa hali uliyonayo..!! Mungu akusaidie kijana mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…