Sikujua kwamba vitabu vya Mungu vinazungumzia maisha haya....

Mbinile

Senior Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
117
Reaction score
169
Kumbe SSH na Kijani ndio wanahusika na "mene, mene, tekeli, na peresi" na Mnala wa BABELI....Maanake nashangaa sasa Kijani wameanza kuchanganyikiwa.

Asante Rev. Hon Dr. Gwajima, Asante Basila Mwanakuzi, Asante Msanii uliyemshauri Mama...Asante Pia na Mwenezi wa Kinondoni maana ulifikiri unamtetea mama kumbe ndio umeharibu kabisaaa.

Asante Mungu
 
Huyo mwenezi wa kinodoni ndo kaharibu kabisa. Wajifunze.kukaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…