Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja mzuri umezungukwa na viunga fukaraView attachment 2264237View attachment 2264238
Unaitwa bingus national stadium.
Misri alikufa mbili bila hapa na Ethiopia afcon wiki kama mbili zilizopita
Alafu hawapigi kelele kama sie huju 😂😂😂 mm huwa nawa ambiaga baadhi ya washikaji zangu ya kuwa hizi barabara tunazo jenga bongo hamna kitu, kuna nchi hapa Africa wana jenga barabara za kisasa yaannkimya kimya husikii kelele za majigamboNapenda hii interchange yaoView attachment 2264243View attachment 2264244
kwani Malawi ipo mbinguni?Unajuaje umezungika na viunga fukara?
AHahahahahaaa mmecha 60M halafu litoke dude..!!!subiri dude la Simba,utapenda
acha uongo,zoezi ni endelevuAHahahahahaaa mmecha 60M halafu litoke dude..!!!
Sasa hapo uwongo wangu ni nini? Hiyo 60M mmechanga kwa muda gani?acha uongo,zoezi ni endelevu
aliyekuambia tumechanga 60m tu ni nani. wakati ndani ya wiki 2 tuna 100m plus na hiyo 60m. halafu bado tunaendeleaSasa hapo uwongo wangu ni nini? Hiyo 60M mmechanga kwa muda gani?
Matumizi mabaya ya Ardhi interchange imekula eleo kuuubwa halafu ni poriniNapenda hii interchange yaoView attachment 2264243View attachment 2264244
Hili la kuchangishana buku buku mtandaoni?subiri dude la Simba,utapenda
Litamalizika baada ya kizazi cha NNE cha familia yako.acha uongo,zoezi ni endelevu
Limenishangaza hata mimiMatumizi mabaya ya Ardhi interchange imekula eleo kuuubwa halafu ni porini
Yani mi pia nashangaa hadi leo eti ile morogoro road ipo vileAlafu hawapigi kelele kama sie huju 😂😂😂 mm huwa nawa ambiaga baadhi ya washikaji zangu ya kuwa hizi barabara tunazo jenga bongo hamna kitu, kuna nchi hapa Africa wana jenga barabara za kisasa yaannkimya kimya husikii kelele za majigambo
Aina ya barabara hii Tz tunapaswa tuwe nazo za kutosha yaaan lkn watawala wetu wana tuchuuzaa akili zetu sijui wametupiga ramli
Hivi jaribu kugoogle huyo UWANJA umenjengwa Kwa sh ngapiUzuri gani unafanana tuu na hivi vya bongo vya mikoani vinavyomilikiwa na nambari wani ambavyo vimefunikwa jukwaa kuu tuu wanakoita vip wengine mvua ikija au jua kali mtapambana na hali zenu?