TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Kiukweli waTanzania tunahitaji furaha sababu maisha yamekuwa magumu sana huku mtaani ,japo tunafikiri sana nje ya box mpaka mabichwa yanaongezeka upana lakini bila bila kama mithiani ya maisha wengi tunapata zero.
Tuwakumbushe tu viongozi maamuzi wanayoyafanya yasiwe ambayo yatazidi kumnyima furaha mtanzania.
Iwapo mtanzania atafanya jambo lolote pasipo kuvunja sheria basi hasizuiliwe kipindi kama hiki cha sikukuu hususa mwaka mpya,maana makatazo yalekuwa mengi sana hususa hawa mawaziri waangali jinsi gani wataimarisha ulinzi ila sio kutuibia furaha yetu.
Kuna vitu vingi mwaka mpya tulikuwa tunafanya kama sehemu ya kujifurahisha na kumtukuza mungu lakini viongozi wetu wamekuja na makatazo mengi sana mpk sikukuu kma mwaka mpya watu tunakuwa km tupo msibani.
Wanyonge tusiokuwa na hela ya kwenda Kidimbwi,40 40,liquid au Micasa ndio tunateseka ,ss starehe yetu kuchoma matahiri,fataki,baruti,kigoma ,mkesha ,mziki mkubwa n.k lakini makatazo mengi km tupo nchi yenye vita.
Nchi hii ni yetu sote tusijisahau jamani,tuimarishe ulinzi ila sio kukatana stimu maana unakuta mtu yupo bar mara defender imeingia wakati ndio kwanza upo bia ya kwanza daah hii inauma sana .Utasikia Meneja yupo wapi?haya funga bar,Wakati bia zenyewe za mafungu nimetoa buku 10 yangu nikapewa tano yaani unaanza ya kwanza wazee nao wanakukatisha stimu ss sijuhi uzibebe au uache mezani wakati umejichanga toka November umeweka hela kwa kibubu mwaka mpya utoke na pisi kali noma sana
😂😂😂😂😂