donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Kwangu mimi sikukuu itakua nzuri kwangu kwani kwa sisi wakristu tutaenda kwenye ibada kanisani na kwa ndugu zetu Waislam pia ni siku yao ya ibada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsi gani ngamia ni ngumu kupenya kwenye tundu la sindano...Kikubwa kesho usizini
Mungu mwema kwa kweli kwangu itakua nzr pia kwan nitaenda church nikirudi ni kupika na kula.Kwangu mimi sikukuu itakua nzuri kwangu kwani kwa sisi wakristu tutaenda kwenye ibada kanisani na kwa ndugu zetu waislam pia ni siku yao ya ibada.
🤣🤣🤣Jinsi gani ngamia ni ngumu kupenya kwenye tundu la sindano...
Mungu mwema kwa kweli kwangu itakua nzr pia kwan nitaenda church nikirudi ni kupika na kula.
Ebu nisaidie kuongeza ww mkuuMbona hiyoo Ni routine ya kawaida.
Ebu ongeza kitu iwe tofauti na siku nyingine.
Unachekesha sana, tusizini? Mabinti wanatoka majumbani mwao kwenda kuzurura mitaani wakiwa wamejiandaa kuliwa uroda na mwanamme/rijali atakayewatongoza, wewe kijana mtata wa Dar Behaviourist unataka kutukatisha starehe alizotuwekea Mwenyezi Mungu, una undugu na shetani nini?Kikubwa kesho usizini
🤣🤣🤣🤣Unachekesha sana, tusizini? Mabinti wanatoka majumbani mwao kwenda kuzurura mitaani wakiwa wamejiandaa kuliwa uroda na mwanamme/rijali atakayewatongoza, wewe kijana mtata wa Dar Behaviourist unataka kutukatisha starehe alizotuwekea Mwenyezi Mungu, una undugu na shetani nini?
hawa wahenga nao wazinguaji tu hvi kwann walifananisha sindano ile ndogo na Mnyama mkubwa kias kile.?Jinsi gani ngamia ni ngumu kupenya kwenye tundu la sindano...
Hahaha, hata na mke wangu mkuu?Kikubwa kesho usizini
Karibu Sana mkuuNaomba Mwaliko basi mkuu
Utakula mwenyewe!! tupe mualiko tuje kusherehekea pamojaMungu mwema kwa kweli kwangu itakua nzr pia kwan nitaenda church nikirudi ni kupika na kula.