SIKUKUU YA WACHAWI (MBINA) BARIADI LEO TAREHE 31/05/2025

SIKUKUU YA WACHAWI (MBINA) BARIADI LEO TAREHE 31/05/2025

MWANAHARAMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
5,350
Reaction score
13,622
Unataka kuona uchawi njoo bariadi.
Kuna Wagalu, Wagika na Wazuna
Ikinyesha mvua ujue Wagika wameshinda na jua likiwaka ujue Wagalu wametoboa.

Unataka kuona Fisi wanao ongea na wenye namba kama magari, njoo bariadi

Unapenda kuona mtu akipaa na Ungo, sogea bariadi

Unataka kuona mawe yanayocheka, kimbilia bariadi.

Sasa hao Wazuna wa ziwani, wanapotea kwenye kidimbwi kidogo Cha maji.
 
Tatizo uchawi mwingi halafu wanashindwa kuyatoa ma ccm madarakani.
 
FB_IMG_1748690812474.jpg
 
Unataka kuona uchawi njoo bariadi.
Kuna Wagalu, Wagika na Wazuna
Ikinyesha mvua ujue Wagika wameshinda na jua likiwaka ujue Wagika wametoboa.

Unataka kuona Fisi wanao ongea na wenye namba kama magari, njoo bariadi

Unapenda kuona mtu akipaa na Ungo, sogea bariadi

Unataka kuona mawe yanayocheka, kimbilia bariadi.

Sasa hao Wazuna wa ziwani, wanapotea kwenye kidimbwi kidogo Cha maji.
Wamemualika Hangaya?Kutokumualika ni uhaini.
 
Back
Top Bottom