Sikukuu yote hii eti nimefumania...

Sikukuu yote hii eti nimefumania...

Happy Ole Sabaya Day..!!

Nimemfumania mpenzi wangu halafu SINGO MAZA.

Leo napokea simu ya mpenzi Ila sauti ya kiume..!!

Kuongea anasema ""niachane na mpenzi wake"".

Nikamuuliza "mmeanza lini huo upenzi?"

Nikajibiwa "ni miezi mi4 sasa"

Ila Mimi nimeanza nae tokea April/2019, nae akashangaa..!!!

Dah...
Mwanamke mwenyewe ni Singo maza.
Nilijitoa kwake Ila kumbe ni mgawa mbunye.

Haya bana mimi NIMEMWACHIA tu aendelee.

Halafu mtu anasema eti ""Singo maza wanajielewa..!!""

Tukiwa hit and run tunasemwa.

Tukitulia na kuwapenda WANAVIMBA KICHWA..!!

Bora nifate ushauri wa joka jeusi tuu...

Ngoja nitafute BIKRA NIOE.

#YNWA
You'll never walk alone
 
Happy Ole Sabaya Day..!!

Nimemfumania mpenzi wangu halafu SINGO MAZA.

Leo napokea simu ya mpenzi Ila sauti ya kiume..!!

Kuongea anasema ""niachane na mpenzi wake"".

Nikamuuliza "mmeanza lini huo upenzi?"

Nikajibiwa "ni miezi mi4 sasa"

Ila Mimi nimeanza nae tokea April/2019, nae akashangaa..!!!

Dah...
Mwanamke mwenyewe ni Singo maza.
Nilijitoa kwake Ila kumbe ni mgawa mbunye.

Haya bana mimi NIMEMWACHIA tu aendelee.

Halafu mtu anasema eti ""Singo maza wanajielewa..!!""

Tukiwa hit and run tunasemwa.

Tukitulia na kuwapenda WANAVIMBA KICHWA..!!

Bora nifate ushauri wa joka jeusi tuu...

Ngoja nitafute BIKRA NIOE.

#YNWA

Pole mkuu songa mbele kama injili
 
Huyo mwanaume atakuwa ni yule aliyezaa naye (Baby daddy). Hakuna cha ajabu hapo [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Wana miezi mi4.
Baada ya kuongea nae nilihisi lafudhi kama ya nyumbani.

Kweli amenihakikishia yeye wa nyumbani.

Kwahiyo watoto wa kijijini kimoja tumekutana kwenye mbunye MOJA.

Baba mtoto ni mjeshi yupo mkoa mwengine tofauti kabisa na huu.

#YNWA
 
Polee

Hivii, kupokea simu ya mpenzi kisha anayeongea ni mwanaume mwenzio ndo kifumania.....

Basi kumbe kufumania hakuna kweree, hadi unauliza mgoni wako ni wa kijiji gani, mweeeh.

Mapenzi nyoko, ila Mahabaa maataaaamuuuu hasa ukiyajulia kuyasakata 😜😋.
 
Ulianzisha ule uzi mwingine kwa habari hii hii sasa umeukimbia umekuja kuanzisha mwingine kwa tukio lile lile na mtu yule yule!

Ushauri wangu ni ule ule pia, mlaumu huyo mtu kama kahaba na usihusishe usingo maza wake. Kilichomfanya awagonganishe ni tabia zake lakini si sababu ana mtoto!

We ungesema tu umefumania mwanamke wako uliyedumu nae tangu 2019 lakini kum classify kuwa umemfumania sababu ya usingo maza wake si sawa. Ni kwa sababu ya tabia zake
 
Pole mkuu, ukiona single mom jiulize Mara mbili mbili kwa nini baba kakubali mtoto alelewe na mzazi mmoja?

Zipo sababu na mara nyingi upande ke! Ndio chanzo
 
Singo maze ni mapasua vichwa ukute hapo kakutana na singo father wakaanza kukujadili "hyu ata kulea hajawahi hatutawezana"
 
Back
Top Bottom