Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Nishaolewa mkuu ila nilipata mtoto kabla ya kuolewa....hivyo bado naumia kwanini tunadharaulika ivi ingali wasababishaji ni nyie wenyewePole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishaolewa mkuu ila nilipata mtoto kabla ya kuolewa....hivyo bado naumia kwanini tunadharaulika ivi ingali wasababishaji ni nyie wenyewePole.
Umetujumuisha woote[emoji23]Nishaolewa mkuu ila nilipata mtoto kabla ya kuolewa....hivyo bado naumia kwanini tunadharaulika ivi ingali wasababishaji ni nyie wenyewe
AiseeUmetujumuisha woote[emoji23]
Haya tusamehe bure kwa niaba yao[emoji85]
Nawe pia ankooo.. wasalimie ma cousins wangu😊Sema ankoo. Eid njema ankoo
Utusamehe bure tu, japo si wote bibie...Aisee
Happy Sabaya Day kungwi Kasie MatataPolee
Hivii, kupokea simu ya mpenzi kisha anayeongea ni mwanaume mwenzio ndo kifumania.....
Basi kumbe kufumania hakuna kweree, hadi unauliza mgoni wako ni wa kijiji gani, mweeeh.
Mapenzi nyoko, ila Mahabaa maataaaamuuuu hasa ukiyajulia kuyasakata [emoji12][emoji39].
Salamu zimefika anko [emoji1545]Nawe pia ankooo.. wasalimie ma cousins wangu[emoji4]
[emoji16][emoji16][emoji16]Jana tumetoa gundu kwa kumpiga mtu 4..!!
#YNWA
Alinipigia simu amepaniki nikajibu kwa dharau halafu nikakata simu..Polee
Hivii, kupokea simu ya mpenzi kisha anayeongea ni mwanaume mwenzio ndo kifumania.....
Basi kumbe kufumania hakuna kweree, hadi unauliza mgoni wako ni wa kijiji gani, mweeeh.
Mapenzi nyoko, ila Mahabaa maataaaamuuuu hasa ukiyajulia kuyasakata 😜😋.
Sasa kama huyu madam huoni amenitharirisha Mimi...!!!Single mother,wanaume mnaotuacha na watoto au mimba zenu hukumu mnayo.Wanawake tunadharaurika sana
Uzi JF wameufuta 😭😭😭Ulianzisha ule uzi mwingine kwa habari hii hii sasa umeukimbia umekuja kuanzisha mwingine kwa tukio lile lile na mtu yule yule!
Ushauri wangu ni ule ule pia, mlaumu huyo mtu kama kahaba na usihusishe usingo maza wake. Kilichomfanya awagonganishe ni tabia zake lakini si sababu ana mtoto!
We ungesema tu umefumania mwanamke wako uliyedumu nae tangu 2019 lakini kum classify kuwa umemfumania sababu ya usingo maza wake si sawa. Ni kwa sababu ya tabia zake
After HIV/AIDS, COVID-19 and JOBO..... SINGLE MOTHER is another catastrophe.
Alinipigia simu amepaniki nikajibu kwa dharau halafu nikakata simu..
Ila sauti yake nikahisi inalafudhi ya kwetu, nikampiga Tena.
Nikamwomba samahani na kumuuliza "Hivi wewe ni m***, maana una lafudhi kabisa ya kwetu""
Akasema ndio.
Nikamwambia "mi ni wa ukoo wa ** na kwetu ni * (nikataja kata)""
Akanijibu ""mi pia ni wa hukohuko"
Nika classify kijiji, nae pia wa hukohuko.
Akanitajia kijiwe maarufu pale kijijini, akasema sasa kwao ni jirani na hicho kijiwe.
Nikamwambia ""Aisee bro, sisi ni ndugu mi nakuachia hiyo mbunye kwaheri""
Nikakata simu.
Nimwachwa mwenzio.
Natafuta mbunye ya kujiliwaza usiku...
#YNWA
Happy Sabaya Day kungwi Kasie Matata
A catastrophic Disaster indeed!After HIV/AIDS, COVID-19 and JOBO..... SINGLE MOTHER is another catastrophe.
Akiwa sio singo maza huwezi fanyiwa hivyo eeenh? Wanaochiti wote masingo maza au vipi?Uzi JF wameufuta 😭😭😭
Ndio maana nimeanzisha huu mwengine.
Singo maza HAWARITHIKI...
Ngoja utombew* ndio utanielewa.
#YNWA
Yeah manA catastrophic Disaster indeed!