Sikukuu yote hii eti nimefumania...

Happy Sabaya Day kungwi Kasie Matata
 
Alinipigia simu amepaniki nikajibu kwa dharau halafu nikakata simu..

Ila sauti yake nikahisi inalafudhi ya kwetu, nikampiga Tena.

Nikamwomba samahani na kumuuliza "Hivi wewe ni m***, maana una lafudhi kabisa ya kwetu""

Akasema ndio.

Nikamwambia "mi ni wa ukoo wa ** na kwetu ni * (nikataja kata)""

Akanijibu ""mi pia ni wa hukohuko"

Nika classify kijiji, nae pia wa hukohuko.

Akanitajia kijiwe maarufu pale kijijini, akasema sasa kwao ni jirani na hicho kijiwe.

Nikamwambia ""Aisee bro, sisi ni ndugu mi nakuachia hiyo mbunye kwaheri""

Nikakata simu.

Nimwachwa mwenzio.

Natafuta mbunye ya kujiliwaza usiku...

#YNWA
 
Single mother,wanaume mnaotuacha na watoto au mimba zenu hukumu mnayo.Wanawake tunadharaurika sana
Sasa kama huyu madam huoni amenitharirisha Mimi...!!!

Nilikua naenda kula mbunye ambayo mwanaume mwengine amemwaga mazaga yake, na mimi naingiZa mulemule..!!!

Nalionea huruma dushe langu kwa kuogelea shahaw* za wengine..!!

Hivi kama tuseme amepata mimba leo, atamsingizia mjuba niliyemwachia game au Mimi?

#YNWA
 
Uzi JF wameufuta ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Ndio maana nimeanzisha huu mwengine.

Singo maza HAWARITHIKI...

Ngoja utombew* ndio utanielewa.

#YNWA
 

Kweli wanaume wametoka Mars

Na

Wanawake wametoka Venus....

Nakutakia mtafuto mwema.
 
Happy Sabaya Day kungwi Kasie Matata

Siimbaaa......

You are missed.....๐Ÿ˜‰

Ghafla huu wimbo umenijia kichwani....

.....โ€ huko uliko ni mbali, ooh Baba Stella, nakutoilagheee nali na masumbangaa....๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
.......... jingโ€™ombe nyamala madudu, nali na masumbangaa eehhโ€

Ahah ahaha ha hapo nimeandika yanavyoimbwa na kutamkwa.

Pokea mkono wangu wa Eid.... ๐Ÿค
 
Sasa nawe tangia 2019 mpaka leo haoni ulikuwa unampotezea muda? Labda huyo anaweza kuwa na malengo naye mwache aendelee naye!
 
Uzi JF wameufuta ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Ndio maana nimeanzisha huu mwengine.

Singo maza HAWARITHIKI...

Ngoja utombew* ndio utanielewa.

#YNWA
Akiwa sio singo maza huwezi fanyiwa hivyo eeenh? Wanaochiti wote masingo maza au vipi?

Kwahiyo hawa maslay queens wasio masingo maza wanaridhika fresh kabisa sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ