Krisimasi ya zamani baada ya kula pilau na soda, mnapewa sh 50 au 100 ya kwenda kutembelea, kwa waliokulia Tabora wanapakumbuka Maua baa ndio tulikuwa tunaenda kuangalia video huko.......sio sasa hivi tunawapeleka kwenye ma beach kuogelea
Krisimasi ya zamani ilikuwa mnahamia kwa rafiki yake na baba na mkiwa huko habagui, wote tulikuwa tunanunuliwa nguo mpya, viatu vipya na ile miwani yenye fremu za njano........lakini sio sasa, huyohuyo rafiki yake baba anaweza kumbaka mtoto wa rafiki yake.
Dah....Bora umeuliza....isije kuwa 2017πππZamani inayozungumziwa hapa ni mwaka gani?
Kabla we haujazaliwaZamani inayozungumziwa hapa ni mwaka gani?