Sikumbuki ni lini Injinia Hersi Said amekuwa mwana Yanga SC Wenzetu. Tumchague Dk. Msola kwa Urais Yanga SC

Sikumbuki ni lini Injinia Hersi Said amekuwa mwana Yanga SC Wenzetu. Tumchague Dk. Msola kwa Urais Yanga SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki.

Tutanuniana sana Mwaka huu.
 
MWEHU, HAMNAZO, KAYUMBA, KILAZA, PIMBI, DUNYA, POPOMA, ZOBA, TAAHIRA, CHIZI, MWENDAWAZIMU kwenye THREAD nyingine. Huchoki kuandika Madam ANNA??
 
Yule ni yanga na ni liverpool damu..akili kubwa sana..first class kutoka...kama umekaa kino studio utanielewa..
 
Back
Top Bottom