Hakuna kiongozi ambaye kafanya mema bila kua na makosa,..tena huyo unayemsifu ndiye aliyetuletea mpasuko mkubwa kuliko hata JK....
Mazuri ya JK
1.Uhuru wa vyombo vya habari...ndio maana hata makosa ktk utawala wake yaliweza julikana
2.Ujenzi wa miundo mbinu..barabara,UDOM,shule za kata n.k
3.Nyongeza za mishahara kwa watumishi kila mwaka+kupanda kwa madaraja
4.Ajira ,hasa Afya na Elimu kila mwaka
5.Aman na Upendo vilitawala,hakuna hofu ya kutekwa,hatukusikia wasijulikana...tunamshukuru mama kwa kutuleta pamoja kama Taifa,mama amefanya kazi kubwa,Mungu azidi kumbariki Rais wetu wa awamu ya 6....hayo ya awamu ya 5 hatutaki yajirudie.