Sikumbuki ni lini Rais Mstaafu Kikwete alionyesha nia ya Ikulu ya Dodoma Kujengwa, bali Hayati Magufuli ndiyo alisema na kuianza

kikwete Kama Obama anajua kuongea vizuri anakupamba Ila afanyi kazi yoyote . Ana poor productivity . Sema all in all he is okay has a person . And he did what he did .
....Ana Poor Productivity lakini all in all he is Ok ???
...ndio Unafiki Wa Watanzania Sasa huo !
 
Umewapalilia sana hao watu wa Pwani. Kuna kitu cha maana M-bara anaweza kijifunza kutoka kwa Wakwere, Wazaramo, wamwera,au wamakonde kweli?
 
Kikwete is very bright. Yule jamaa Ni kichwa. Aliona hakuna umuhimu wa kukurupuka na kwenda kujenga majengo mengine wakati majengo tunayo Dar. Yeye akaona Bora tujenge shule za kata kwanza na world standard University yaani UDOM.
Sasa wengine wakakurupuka ohh tuhamie dodoma.hii imeongeza Sana matumizi ya serikali maana in actual fact kila siku watumishi wakubwa wako on the move between Dar and Dom.
Hakuna waziri asiye na makazi Dar, Wala wakurugenzi, Wala makamishna Wala wabunge.
Kuhamia Dodoma Ni Kama Ile operation vijiji ya 1974. Madhara take yalikua makubwa Sana.
Mpaka Sasa hakuna anayeweza kutaja faida za kuhamia Dodoma from an economic point of view.
 
Ilitumika nguvu kubwa kuwabrainwash wajinga na kwa bahati mbaya ilifanikiwa kwakuwa, kama kawaida, mamburura hayakosekani.

Uzuri wa jk, na ndo maana anabarikiwa, hana kinyongo wala hasira na mtu. Anatabasamu tu kila anavyowaona hawa mamburura wanavyopayuka hovyohovyo. Unatakiwa uwe na viwango vya chuo kikuu cha Havard uweze kumuelewa jk......na hao ni wachache sana kwa bahati mbaya. Hongera mtoa mada.
 
Umewapalilia sana hao watu wa Pwani. Kuna kitu cha maana M-bara anaweza kijifunza kutoka kwa Wakwere, Wazaramo, wamwera,au wamakonde kweli?
Inawezekana hakuna, kama ambavyo wao pia hawana kutoka bara! Kila mtu na maisha yake na utaratibu wake. Lakini pwani 9taongoza tu, upende usipende!! Tulia, kusanya kumbukumbu utaliona hilo.
 
Politicians wote wanao support mabebelu wanaishi poa in modern times . Wanapewa deals sio Baraka . Kikwete will be among the worst presidents in his country he did nothig significant . Najua hata kama anasoma hapa . He regrets he should have done more for his country . Shida people have seen the true colors . Not a single legacy left behind . His son is Also doing nothing for his people in bagamoyo tragic . Ila ndo siasa 🫡
 
Sawa, hongereni nyie mlioacha legacy!
 
Watanzania wote tunajua Serikali ilihamishwa Dodoma Awamu ya Tano na hayati JPM.

Kikwete na co. kupitia upinzani walimkwamisha sana. Ushahidi upo wazi mitandaoni.

Uzuri siku hizi kila kitu kipo wazi.

Awamu hii moja inamtosha na tumshamchoka. doctor silaa tafuta chama uingie nchi unachukua mapema tu
 
Nani alikudanganyabkuwa Kijwete alitaka kujenga Ukulu mpya Dodoma?


Kikwete aliitumia Ikulu iliyokuwepo tayari Chamwini kila alipokuwa Dodoma.

Kikwete alijenga miundo mbinu yenye maana Dodoma. Ajenge Ikulu kabla ya mengine ya muhimu kukamilika? Si ujuha huo.

Unatafuta cha kumzulia Kikwete?


Miradi ya Kikwete inajulikana, hakuwa na jipaumbele cha kujenga Ikulu mpya Dodoma wakati kulikuwa na Ikulu tayari.


Mwendazimu mmoja alienda kuanzisha hifadhi mpya ya wanyama kwao wakati zilizopo bado zina migogoro lukuki.
 
we ni mbwaaa . acha kumzarau rais mstaafu. kafanya makubwa mengi tu.ila kwa upopoma wako huwezi yasema
 
Hii kauli na Mimi ilinishtusha Sana......
 
Hakuna kiongozi ambaye kafanya mema bila kua na makosa,..tena huyo unayemsifu ndiye aliyetuletea mpasuko mkubwa kuliko hata JK....
Mazuri ya JK
1.Uhuru wa vyombo vya habari...ndio maana hata makosa ktk utawala wake yaliweza julikana
2.Ujenzi wa miundo mbinu..barabara,UDOM,shule za kata n.k
3.Nyongeza za mishahara kwa watumishi kila mwaka+kupanda kwa madaraja
4.Ajira ,hasa Afya na Elimu kila mwaka
5.Aman na Upendo vilitawala,hakuna hofu ya kutekwa,hatukusikia wasijulikana...tunamshukuru mama kwa kutuleta pamoja kama Taifa,mama amefanya kazi kubwa,Mungu azidi kumbariki Rais wetu wa awamu ya 6....hayo ya awamu ya 5 hatutaki yajirudie.
 
1. Hivi yule dokta aliyeng'olewa meno bila ganzi, kupigwa na kutupwa mabwepande ilikuwa awamu ya ngapi vile?
2. Yule mwandishi aliyemwagiwa tindikali naye?
3. Je na yule mwandishi aliyeng'olewa jicho kwa kutumia umma?
4. Mwandishi aliyesambaratishwa kwa bomu la machozi kule Iringa naye?
5. Aliyepiga bomu wananchi kwenye mkutano kule Olasiti ilikuwa ni awamu ya ngapi tena?
6. Mimi nimechoka bwana Nitaendelea kesho
 
Pambee, waambie wachambia viguzi, tumewafundisha kutumia maji, waabara watani zetu Ila washamba mno, wacheza ngoma tusiosoma tumetia saini ikulu,.mjini mipango hati, hatujui kununa tunatabasamu tu, karibuni jandoni na unyago mwakani kwetu msata.
 
Hakuna mtu mkamilifu hapa duniani. Kwa hiyo JK, JPM , Mama Tozo wote wana mazuri na mabaya. Tusifocus kwenye mabaya yao tu.
Ila Kikwete was useless jamani, hata yeye mwenyewe anajijuwa kwa hili na Bunge letu useless walishasema kuwa jamaa alikuwa useless na wakataka rais mkali wakampata JPM wakamuogopa. Kikwete akamatwe tu arudishwe kwao China, hatumtaki hata kumuona mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…