Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo!
Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu yoyote ya kiufundi kupata matokeo ata ya sare tu kwenye Kila mechi zako dhidi ya Simba!
Nilipoona anatangazwa mgunda kuwa kocha mkuu wa Namungo nilijua Moja kwa Moja tiyali point 3 Simba keshazipata bila jasho🤣🤣
Mbinu zake yeye uwa zinaonekana akicheza na timu nyingine sio Simba!