Si jukwaa la kuchorana...mbona unasema mara una tafuta mchumba mara una mr. na mtoto...Tukueleweje dada....
Kama uliyoyaandika ni kweli basi wastahili adhabu kama hiyo...hakuna jambo mabaya kama kudanganya watu wenye akili.
kumbe huyu ndo aliyepost anamtaka mume wa jirani? Leo unalia kuachwa solemba? Nadhan alitegemea watu wamesahau ile thread aliyoleta awali.
Kumbe kuna watu wanajivisha mikasa feki?!!
Central Prosessing Unit ulikuwa huna habari??? Feki ndo zimejaa humu FYI
Sasa ngoja niitoe hii CPU ya mjerumani niweke ya mhindi
Kisa nini
Hivi inakuwaje unaanzisha thread ambayo ni uongo.... yaani wewe in two weeks umpate 'mume'..mhhh??!!!! inawezekana unatafuta pole kwa wanaJF au ulifikiri hawakuiona hiyo post?...POLE SANA...:coffee:
CPU ya kihindi ina process sana mzaha kuliko ya kijerumani
Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.
Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.
Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.
My Dear zipo nyingi sana za hivi humu
Wakati unajilengesha kwa mume wa jirani mara zote mumeo hakuona au kusikia habari hiyo? Sasa baadala ya kubadilika unataka kukimbia kuwajibika. Inawezekana uliyokuwa ukitenda jamaa anayaona na kuamua kupata mapumziko sehemu. Hivi hizo pati zenu za jikoni ni za nini basi.Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.
Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.
Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.
Pole sana,pamoja na upungufu wako wa kibinadamu unastahili ushauri,kabla ya kuondoka na mwanao nakusihi kaa chini na mume wako na uzungumze naye kuhusu hilo,naye pia ana mapungufu kama ulivyokuwa nayo wewe,tangu ulipoweka ile thread ya kumtaka mume wa mtu nilishahisi una tatizo na mume wako,kaeni chini mzungumze kwa uwazi,kama nyote mko tayari kuimarisha ndoa kwa kubadilika na kujifunza kuvumiliana na kukataa tamaa mbaya kadri ya uwezo wenu poa,kama mtaamua kuachana,then sawa,nitakutakia kila la kheri,ila tulia kwanza na fanya uamuzi hasira ikiwa imepungua kidogo........sikuzote kumbuka si vizuri kuyakimbia matatizo ni vizuri kuyakabili manake huko uendako yaweza kuwa makubwa zaidi.
Pole sana inawezekana alikwa busy na kazi za msingi. Muulize kwa upole na usiwe na prejudice!