Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.
Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.
Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.
duu nimewaaminia kwa kuwa na kumbukumbuku.mhhhh sina la kumshauri zaidi ya kusema maneno huumba,mla cha mtu nae huliwa.
Sasa si nilitafuta mwenza ili nimpate. sasa kama nilimpata wewe hutaki? mbona unatoa majibu yasiyo na msingi wewe.
............nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.