Sikumwona mr siku ya valentine day

Sikumwona mr siku ya valentine day

ulivyosema unamtamani mume wa jirani,ilikuwa ni kweli au ulikuwa attention seeker?kumbe na wewe mwenyewe una wako na mtoto wako{samahani kwa maneno yangu}pole kwa yaliyokukuta,inaonyesha mna matatizo wewe na mwenzako,iliyobaki kaa nae na ujaribu kumueleza maana relationship sometimes kuna ups and down,mwisho wa yote si alirudi?
 
Vipi mumeo mmefikia wapi? umeondoka?
 
Labda aligundua unamtamani mme wa Jirani yako..akaona akupe nafasi
 
Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.

Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.

Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.

Si ulisema unatamani mume wa jirani yako, na wenzio wanamtumia kama unavyotamani. Wakati wewe unatumia muda mwingi kumtega mume wa jirani yako badala kutumia muda mwingi kumwandaa mwenzi wako ili ufurahie ndoa yako. Be serious utampoteza hata huyo uliyenae.
 
duu nimewaaminia kwa kuwa na kumbukumbuku.mhhhh sina la kumshauri zaidi ya kusema maneno huumba,mla cha mtu nae huliwa.

Uzuri wa hapa, chake kimeliwa kabla yy hajala. I love it!
 
Sasa si nilitafuta mwenza ili nimpate. sasa kama nilimpata wewe hutaki? mbona unatoa majibu yasiyo na msingi wewe.


Hueleweki dada, Utafte mwenza, Umpate na Mtoto juu!, mmekua Simbilisi???????
 
Achaga ubishi, jifunzage mambo kwa haraka, ukiona watu wote wapo kinyume na wewe tena na sababu za msingi wanakupa. Aminigi tu Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. THINK!!
 
mke wa hivi ni headache tupu huyo jamaa atakuwa ana boreka saaana ndo maana anakukacha. mke kila kitu anataka yeye tuuuuuu
 
We ondoka tu, huyu mwanaume amekuchoka tu sema anashindwa kukuambia, we chapa lapa ili apate nafasi ya kuingiza kifaa kipya.
 
Back
Top Bottom