Posta yanini sasa wakati tumekubaliana nikuje personal?
Unajua hii sredi imenitouch sana, imenikumbusha something very touchy in my life . So let me end here.
Good night darling!
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi. Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
<br />Nakubali majukumu niliyojibebesha kwa kukubali kustareheka!!
Mkeshaji: Nimewahi kusikia habari ya kuwa "Mtoto yule ni kharamu". Ikoje hii kitu....!!!!?
Ni lugha tu inayoleta maana tofauti. Tupitie kidogo yafuatayo kisha tujadili katika utamaduni wetu.Hivi ndio baadhi ya vitu ambavyo sometimes vinanifanya nichukie dini. Mtoto hawezi kua haramu kwasababu sio aliyechagua azaliwe bila/kabla au nje ya ndoa!!
unanikuna sana weye binti... basi tusio kwa mwanamke pekee, bali hata mwanaume anaekiri kuwa mtoto hakupangwa anamuathiri kisaikolojia (kama mtoto akijua) na hata kiroho (asipojua). wakristo tunaamini mdomo huumba. unapotamka neno kama hili,mtoto anakuwa na hali ya kukataliwa. kuna watu wana akili sana bt they ar rejected everywhere,sio shuleni,marafiki,kazini na hata pesa inaweza kukukataa!kama kuna mtu alishawahi kunena kitu kama hicho juu ya mwanae,inapampasa atubu kwanza na kufuta kauli yake.ni uonevu wa hali ya juu.imagine mzazi wako ungemsikia anasema hivyo juu yako, agghhhhrrr! kustuka,kuhamaki na kufedheheka kwa ajili ya mimba nadhani ni kawaida,bt u got 9months to adjust and come to terms with it.jamani,the way babies ar cute and can melt a stony heart,si-imagine mtu kusema hivyo.nadhani mtamkaji ndo hakupangwa,na sio mtoto!
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didnt plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
i appreciate hapo redHi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
<br />unanikuna sana weye binti... basi tu
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
Lizzy dear it is not that simple Hapo in red.... Mimba ndio hasa mtoto mwenyewe to be huwezi sema kua mimba unakua hujapanga lakini mtoto atakae zaliwa kapangwa Ni muhimu mno kujipanga kwanza kabla ya kuamua kuzaa for the betterment ya mtoto ili kuhakikisha huyo mtoto waweza mtunza Sio lazima uwe na ule uwezoo, but walau maisha ya kusema waendesha maisha . Hivo kuna watotot ambao kweli kabisa anapatikana na hakupangwa
Justification hio in blue peke yake haitoshi ndio maana kuna watu weeengi sana wanatoa mimba whether it is right or wrong wahusika ndiio wanatambua Kitu tu ambacho nimegundua from experience ni kwamba waweza kua na mimba na hukupanga, but kuzaa Yule mtoto no matter the circumstances is the best thing ever! Watoto wana raha yake mno
sio kwa mwanamke pekee, bali hata mwanaume anaekiri kuwa mtoto hakupangwa anamuathiri kisaikolojia (kama mtoto akijua) na hata kiroho (asipojua). wakristo tunaamini mdomo huumba. unapotamka neno kama hili,mtoto anakuwa na hali ya kukataliwa. kuna watu wana akili sana bt they ar rejected everywhere,sio shuleni,marafiki,kazini na hata pesa inaweza kukukataa!kama kuna mtu alishawahi kunena kitu kama hicho juu ya mwanae,inapampasa atubu kwanza na kufuta kauli yake.ni uonevu wa hali ya juu.imagine mzazi wako ungemsikia anasema hivyo juu yako, agghhhhrrr! kustuka,kuhamaki na kufedheheka kwa ajili ya mimba nadhani ni kawaida,bt u got 9months to adjust and come to terms with it.jamani,the way babies ar cute and can melt a stony heart,si-imagine mtu kusema hivyo.nadhani mtamkaji ndo hakupangwa,na sio mtoto!
This post speaks volumes....
Ni lugha tu inayoleta maana tofauti. Tupitie kidogo yafuatayo kisha tujadili katika utamaduni wetu.
' Haraam is an arabic term meaning 'forbidden' or sacred.
In Islam it is used to refer anything that is prohibited by the faith, could be acts of adultery, murder,objects, foods etc etc.
Over years the term has accumulated additional non-traditional uses to it. In Arabic speaking countries haraam could mean Shame or pity ,for instance children are commonly told not to mistreat other children or animals because it is Haraam.
Haraam is also adopted by modern Hebrew slang'.
Kwa sisi waswahili kama ambavyo tumeona matumizi yanavyobadilika nasi tunalitumia kwa maana yetu. Tatizo hatuweki sentensi zetu vizuri.
Hakuna mtoto haraam wala mzazi haraam. Kilichopo ni mtoto wa haram ikiwa na maana mtoto aliyepatikana kwa njia zinazokatazwa na imani (faith)
Sentensi inakuwa 'mtoto yule ni wa haraam' ikimaanisha aliyepatikana nje ya utaratibu kwa imani husika, au mtoto wa aibu(shame) kama mila zetu pia zinavyosema. Hii haimaniishi mtoto ni haraam. Maana halisi ni kuonyesha utaratibu uliotumika kumpata mtoto.
Haraam sio tusi ni 'phrase' inayoelezea jambo kwa misingi ya imani au lugha kama tulivyoona hapo juu.
Kuna dini zinasema 'mtoto wa dhambi' haimaniishi yeye ni dhambi bali tukio lililoleta ujio wake lilikuwa la dhambi.
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
Nahisi harufu ya damu hapa...so kama mimba imepatikana kwa bahati mbaya ndio inyofolewe??hii mada nahisi ina positive strategy za kuua watoto. Kama hamuhitaji mimba kwa nyie wadada/wakaka ni bora mtumie Condoms kwa uangalifu tutaepuka haya mambo ya bahati mbaya,.ila usiseme tena ilikuwa bahati mbaya Condom ilipasuka...tehetehe
Nguruvi
Nakubaliana na wewe hapo na ndio kisa hasa cha waarabu kusema "a child of shame" wakizungumzia wale waswahili tunaowaita wana wa haramu wanapozungumza kwa lugha ya kiingereza.
Au Wakristo wanapoita " a child of sin" kwa lugha ya Kiingereza
Though still mtoto anaposikia kuitwa hivi pia kuna muathiri kosaikolojia.
...ni kupishana tafsiri na matamko tu.
Girlfriend wangu alipo niambia amepoteza siku zake (way back in 1990)...nilimshawishi tukacheki kama ame conceive.
Baada ya majibu na kwakuwa nilikuwa nampenda na kumjali, nilimshawishi ailee mimba, kisha tutamlea mtoto atapozaliwa.
...hatukuwa tumepanga apate mimba, ila tulikubaliana mtoto azaliwe.