Mkeshaji: Nimewahi kusikia habari ya kuwa "Mtoto yule ni kharamu". Ikoje hii kitu....!!!!?
Hivi ndio baadhi ya vitu ambavyo sometimes vinanifanya nichukie dini. Mtoto hawezi kua haramu kwasababu sio aliyechagua azaliwe bila/kabla au nje ya ndoa!!
Ni lugha tu inayoleta maana tofauti. Tupitie kidogo yafuatayo kisha tujadili katika utamaduni wetu.
' Haraam is an arabic term meaning 'forbidden' or sacred.
In Islam it is used to refer anything that is
prohibited by the faith, could be acts of
adultery, murder,objects, foods etc etc.
Over years the term has accumulated additional
non-traditional uses to it. In Arabic speaking countries haraam could mean
Shame or
pity ,for instance children are commonly told not to mistreat other children or animals because it is Haraam.
Haraam is also adopted by modern Hebrew slang'.
Kwa sisi waswahili kama ambavyo tumeona matumizi yanavyobadilika nasi tunalitumia kwa maana yetu. Tatizo hatuweki sentensi zetu vizuri.
Hakuna mtoto haraam wala mzazi haraam. Kilichopo ni mtoto wa haram ikiwa na maana mtoto aliyepatikana kwa njia zinazokatazwa na imani (faith)
Sentensi inakuwa 'mtoto yule ni wa haraam' ikimaanisha aliyepatikana nje ya utaratibu kwa imani husika, au mtoto wa aibu(shame) kama mila zetu pia zinavyosema. Hii haimaniishi mtoto ni haraam. Maana halisi ni kuonyesha utaratibu uliotumika kumpata mtoto.
Haraam sio tusi ni 'phrase' inayoelezea jambo kwa misingi ya imani au lugha kama tulivyoona hapo juu.
Kuna dini zinasema 'mtoto wa dhambi' haimaniishi yeye ni dhambi bali tukio lililoleta ujio wake lilikuwa la dhambi.