Sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri aelezee TRAT na TRAB ndani ya sekunde moja

Bushmaster

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2022
Posts
583
Reaction score
1,265
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
 
Kwa nilivyoelewa Mheshimiwa spika alimtaka mheshimiwa Waziri afafanue hayo maneno na siyo kuelezea kitabu chote chenye kurasa 500 kama wewe ulivyofafanua hapa maana TRAB na TRAT ni vifupisho vya maneno ambavyo vilikua havieleweki kwa waheshimiwa wabunge alikusudia nini
 
Speaker alikuwa sahihi na siyo kwamba haelewi. Alitaka Mwigulu atamke kwa urefu wake ili watu waelewe na Hansad ziwe na maneno sahihi siyo kifupi.

Na kwa taarifa yako hata Mwigulu hakujua kirefu cha hayo maneno na ndiyo maana alichemka.
 
Yani wewe ni kilaza kweli kweli, katika hizo page 500 Hakuna definition of terms? Au maelezo Mafupi?

Sasa Mbona wewe umetoa definition kwa ufupi? Ivi, does it have to be your profession to understand?
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Wewe pia hujui kitu. PhD ya uchumi hujui taasisi za kisheria zinazoshughulika na mashauri ya kodi tanzania, tena Waziri wa fedha ambazo zinakusanywa na TRA inayoburuzwaga na wafanyibiashara kwenye "mahakama" hizo.
 
Waziri au naibu waziri anapotoa majibu yake ni vyema akatumia lugha yenye kueleweka iiliyo na maneno ama vifupisho ambavyo ni rahisi kueleweka kwa wabunge na hata yule anayeongoza kikao cha Bunge siku hiyo.

Badala ya kutumia TRAT ingetosha tu kusema mabaraza ya rufaa ya malalamiko ya kikodi, na TRAB angeishia kusema ni bodi husika ya masuala ya kikodi. Si vyema waziri akamjibu mbunge kwa kifupi kuwa wizara yake inatumia MBO na badala ya MBWA kisha huyoo akaenda zake kukaa.

Kumbe alimaanisha 'Management By Objectives" na wala siyo "Management By Walking Around". Matumizi ya vifupi vya maneno yaani "acronyms" ama yale ya maneno ya kitaalamu yaani "technical jargons" mara nyingi huiacha hadhira njia panda.

Takwa lile la Spika kwa Waziri wa Fedha la kutaka ufafanuzi zaidi juu ya maneno aliyoyatumia lilikuwa ni sahihi kabisa.
 
Huenda hata yeye Mwigu hakuwa anajua kirefu chake.
Ndio maana uwa wanasaini mikataba pasipo kuelewa wanasaini nini.
 
Yani wewe ni kilaza kweli kweli, katika hizo page 500 Hakuna definition of terms? Au maelezo Mafupi?

Sasa Mbona wewe umetoa definition kwa ufupi? Ivi, does it have to be your profession to understand?
TRAT na Trab sio vitabu hizo ni quasi judicial bodies zinazodeal na maswala ya kodi.

Hivyo vitabu anavyosema mleta mada ni sheria zilizounda hizo bodies na kuziongoza.

Waziri hakutakiwa kutolea ufafanuzi wa hizo sheria bali kuelezea hizo fedha zinazodaiwa zipo katika utaratibu upi wa kikodi.
 
Kwa nilivyoelewa Mheshimiwa spika alimtaka mheshimiwa Waziri afafanue hayo maneno na siyo kuelezea kitabu chote chenye kurasa 500 kama wewe ulivyofafanua hapa maana TRAB na TRAT ni vifupisho vya maneno ambavyo vilikua havieleweki kwa waheshimiwa wabunge alikusudia nini
[emoji1545][emoji1752]
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Kwa hiyo wewe umeeleza ni nini?
 
Wewe mbona umefafanua vizuri hapo na umeeleweka? kwanini waziri alishindwa kuelezea? Ina maana ni Uongo ndio maana akaanza stuttering.
 
Huenda hata yeye Mwigu hakuwa anajua kirefu chake.
Ndio maana uwa wanasaini mikataba pasipo kuelewa wanasaini nini.
Wanakalia viyoyozi tu kwenye mavieitee bila kupitia hata hivi vifupusho vidogo vidogo.

Mwanzo wa kitabu ninaimani hayo maneno yamefafanuliwa ila hajapitia kuyasoma
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Nina mashaka hata wewe umechemka....

Hakuna neno Tanzania kwenye kirefu cha huo ufupisho

TRAT = Tax Revenue Appeal Tribunal

TRAB = Tax Revenue Appeal Board

Yani umemwingiza chaka mpaka mtani wangu mchawi Mshana Jr.... Kakugongea LIKE kizembe kabisa
 
Back
Top Bottom