Sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri aelezee TRAT na TRAB ndani ya sekunde moja

Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Sio kweli SPIKA hajui

Yule ni mwanasheria nguli ,tena alikuwa lectural pale Udism

Longo ni kufafanua kwa Wabunge wa CCM mbumbu

Mtu kama sijui TELATELA Anajua nini huyo.

Soo uwe n hakika na unachoongea acha uongoo
 
Hahaha Mwiguluu, naona umekuja kujitetea baada ya kuchemka kutoa ufafanuzi mdogo tu. Eti hadi 2030, Mungu mkubwa ngoja tusubiri tuone....
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Wewe ndio mbwiga kabisa

Kudefine Trat ndio taaluma?

We bavicha bure kabisa
 
Kwa nilivyoelewa Mheshimiwa spika alimtaka mheshimiwa Waziri afafanue hayo maneno na siyo kuelezea kitabu chote chenye kurasa 500 kama wewe ulivyofafanua hapa maana TRAB na TRAT ni vifupisho vya maneno ambavyo vilikua havieleweki kwa waheshimiwa wabunge alikusudia nini
Kwa suala hili Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Madam Spika alikuwa sahihi kabisa.
 
Kingine Waziri wa fedha huchagua Chairman na wajumbe wa TRAB na hushiriki pia kuchagua wajumbe wa TRAT, how comes ana power nzito hivyo lakini hajui kuzielezea rufani zake za kikodi?
 
Speaker alikuwa sahihi na siyo kwamba haelewi. Alitaka Mwigulu atamke kwa urefu wake ili watu waelewe na Hansad ziwe na maneno sahihi siyo kifupi. Na kwa taarifa yako hata Mwigulu hakujua kirefu cha hayo maneno na ndiyo maana alichemka.
Ahahaha, kwahiyo hata waziri hakujua kirefu chake hayo maneno!
 
Speaker alikuwa sahihi na siyo kwamba haelewi. Alitaka Mwigulu atamke kwa urefu wake ili watu waelewe na Hansad ziwe na maneno sahihi siyo kifupi. Na kwa taarifa yako hata Mwigulu hakujua kirefu cha hayo maneno na ndiyo maana alichemka.
Kitendo cha Mwigulu kushindwa kutoa kirefu chake ameonesha udhaifu mkubwa sana na ni aibu. Nafikiri atakuwa anajisikiaje vibaya sana... Anyway, so far hauna Waziri wa Fedha... Huyu ni Waziri wa Pesa.
 
kifupi ni rufani za kodi[emoji1545][emoji1752]
Nilikuwa nimekaa mahali, jamaa mmoja pembeni akawa anaiplay. Nkajua tayari Eric Omondi ashatutafutia ubaya Watanzania.
Jamaa ndipo akanionesha kumbe ni live mjengoni. Ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya trab na trat
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Wee mburula kweli kweli! Spika alitaka aeleze maana au afafanue ni nini TRAT na TRAB na siyo kuanza kufundisha!

Nyie ndiyo wale mnafeli mitihani kizembe!
 
Madam Speaker alikuwa sahihi kabisa. Kwani mbali na kutaka ufafanuzi wa maana za TRAT na TRAB, Wizara ya Fedha haikuwa imejibu swali la Mh. Mpina juu ya idadi ya kesi 1,079 kukaa muda mrefu bila kusikilizwa kwa wakati.

Badala yake waziri na naibu wake wakajichanganya oo mara kesi 850, mara makinikia ya sh. Bilioni 360 ambapo data hazikuelekezwa kujibu swali la kesi 1,079. Hatujuwi Mhe. Waziri alijichanganya au alivurugwa na kitu gani kichwani mwake.
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Mbona wewe umejieleza ndani ya sekunde moja, Mwigulu aishindwa nini?
 
Sio kweli SPIKA hajui

Yule ni mwanasheria nguli ,tena alikuwa lectural pale Udism

Longo ni kufafanua kwa Wabunge wa CCM mbumbu

Mtu kama sijui TELATELA Anajua nini huyo.

Soo uwe n hakika na unachoongea acha uongoo
Ulimfanyia speaker assessment kujua anajua?

Sababu ya kwamba alikuwa lecturer tu doesn't make sense,kwa sababu siyo kila lecturer wa sheria anafundisha somo la tax.

Kiufupi tusiongelee speculations, ichukuliwe tu kwamba speaker kaomba kujua maana, and that's the fact.
 
Nina mashaka hata wewe umechemka....

Hakuna neno Tanzania kwenye kirefu cha huo ufupisho

TRAT = Tax Revenue Appeal Tribunal

TRAB = Tax Revenue Appeal Board

Yani u.emwingiza chaka mpaka mtani wangu mchawi Mshana Jr
Umefafanua vyema, ahsante kwa maboresho
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Kwa kiwango kikubwa upo sahihi ila ningependa kukukosoa hapo kwenye TRAT'-Tanzania Revenue Appeal Tribunal ambayo ni Baraza/Mahakama ya mashauri ya kikodi na Rufaa zake zinaenda TRAB. Na sio kitabu kama uLivyo eleza hapo japo ni kweli kuna rules na regulation zinazo ongoza uendeshwaji wa mashauri ya kikodi ambazo wewe ndo umezielezea kama TRAT.
 
Sasa wewe mbona umeelezea TRAB na TRAT Kwa mistari mifupi tu na tumeekewa?. Pia Mwigulu alitakiwa kutoa ufafanuzi huo sio kutaja terminology ambazo si familiar kwa umma. Waziri hakuwa na Nia njema ya kuujuza umma kwa kutumia kigezo cha taaluma yake.
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Ona sasa unaonekana mpumbavu kwa kiherehere chako mwenyewe
 
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)

Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake

Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi

Soma Hapa TRAT

Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo

Soma Hapa TRAB
Ya.. ya ya ya ya yaaa..... yaa... yaaa.....
 
Back
Top Bottom