Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Wewe pia hujui kitu. PhD ya uchumi hujui taasisi za kisheria zinazoshughulika na mashauri ya kodi tanzania, tena Waziri wa fedha ambazo zinakusanywa na TRA inayoburuzwaga na wafanyibiashara kwenye "mahakama" hizo.Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)
Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake
Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi
Soma Hapa TRAT
Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo
Soma Hapa TRAB
Huenda hata yeye Mwigu hakuwa anajua kirefu chake.Waziri au naibu waziri anapotoa majibu yake ni vyema akatumia lugha yenye kueleweka iiliyo na maneno ama vifupisho ambavyo ni rahisi kueleweka kwa wabunge na hata yule anayeongoza kikao cha Bunge siku hiyo.
Badala ya kutumia TRAT ingetosha tu kusema mabaraza ya rufaa ya malalamiko ya kikodi, na TRAB angeishia kusema ni bodi husika ya masuala ya kikodi. Si vyema waziri akamjibu mbunge kwa kifupi kuwa wizara yake inatumia MBO na badala ya MBWA kisha huyoo akaenda zake kukaa.
Kumbe alimaanisha 'Management By Objectives" na wala siyo "Management By Walking Around". Matumizi ya vifupi vya maneno yaani "acronyms" ama yale ya maneno ya kitaalamu yaani "technical jargons" mara nyingi huiacha hadhira njia panda.
Takwa lile la Spika kwa Waziri wa Fedha la kutaka ufafanuzi zaidi juu ya maneno aliyoyatumia lilikuwa ni sahihi kabisa.
TRAT na Trab sio vitabu hizo ni quasi judicial bodies zinazodeal na maswala ya kodi.Yani wewe ni kilaza kweli kweli, katika hizo page 500 Hakuna definition of terms? Au maelezo Mafupi?
Sasa Mbona wewe umetoa definition kwa ufupi? Ivi, does it have to be your profession to understand?
[emoji1545][emoji1752]Kwa nilivyoelewa Mheshimiwa spika alimtaka mheshimiwa Waziri afafanue hayo maneno na siyo kuelezea kitabu chote chenye kurasa 500 kama wewe ulivyofafanua hapa maana TRAB na TRAT ni vifupisho vya maneno ambavyo vilikua havieleweki kwa waheshimiwa wabunge alikusudia nini
kifupi ni rufani za kodi[emoji1545][emoji1752]Asante kwa kutujuza TRAT&TRAB , kifupi ni rufani za kodi
Kwa hiyo wewe umeeleza ni nini?Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)
Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake
Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi
Soma Hapa TRAT
Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo
Soma Hapa TRAB
Wewe mbona umefafanua vizuri hapo na umeeleweka? kwanini waziri alishindwa kuelezea? Ina maana ni Uongo ndio maana akaanza stuttering.Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)
Kwanini sikushangaa? Sababu ni jambo lipo nje ya profession yake
Kifupi TRAT (Tanzania Revenue Appeals Tribunal Rules or Act hizi ni sheria zinazoongoza mashauri mbalimbali ya kikodi
Soma Hapa TRAT
Na TRAB (Tanzania Revenue Appeal Board hii ni bodi inayoongoza au kusikiliza mashauri hayo
Soma Hapa TRAB
Wanakalia viyoyozi tu kwenye mavieitee bila kupitia hata hivi vifupusho vidogo vidogo.Huenda hata yeye Mwigu hakuwa anajua kirefu chake.
Ndio maana uwa wanasaini mikataba pasipo kuelewa wanasaini nini.
Nina mashaka hata wewe umechemka....Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)