Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Serikali imelazimisha ghafla mechi ya Simba na Yanga isogezwe muda wa kuanza (kinyume na kanuni za soka) ili kupisha kwanza tukio la serikali!!Hili jambo silielewi.
Serikali imeingiliaje sasa?