Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Serikali imelazimisha ghafla mechi ya Simba na Yanga isogezwe muda wa kuanza (kinyume na kanuni za soka) ili kupisha kwanza tukio la serikali!!Hili jambo silielewi.
Serikali imeingiliaje sasa?
Ukisoma taarifa iliyotolewa na TFF, utaona kuwa walifanya maamuzi ya kubadili ratiba ya mchezo kutokana na maelekezo ya wizara. Maana yake serikali imeingilia!Hili jambo silielewi.
Serikali imeingiliaje sasa?
Ukisoma taarifa iliyotolewa na TFF, utaona kuwa walifanya maamuzi ya badili ratiba ya mchezo kutokana na maelwkezo ya wizara. Maana yake serikali imeingilia!Hili jambo silielewi.
Serikali imeingiliaje sasa?