Sikutegemea kama ningeishia kuchapwa kama mtoto mdogo

Hahahah daah ila wewe nawe ulikua una haraka ya nini lakini, ona sasa ulichoambulia
πŸ˜„πŸ˜„Acha tu, ni Ile unajua ukiondoka mahali kukutana na mtu inawezekana isiwe rahisi.
 
Tatizo wenge, ulitaka uje kutuvimbia kwenye masikhara![emoji16][emoji16]
 
Ni ndani huko Kijiji cha Mzeituni, haitapita dakika haujasikia sauti za ndege za kuvutia Kama hondo hondo(hornbill) au hadada ibis. Nkipakumbuka natamani nikazikwe pale.

Hapo pa hadada tu mimi
 

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…