Sikutegemea kuona haya

Hata mimi zamani nikua na mawazo kama yako, ila baada ya kujaribu hio kitu nikuhakikishie utakuja kujilaumu kwa nini ulichelewa.
Siwezi pleas
 
Aliye soma mpaka mwisho plz naomba summary...maana huyu hachelewi kutupiga kamba ..... huyu dada na bwana wake wana mambo mengi sana 😢
 
Jukwaa limevamiwa. Sasa ukimsema mumeo huku unapata faida gani?.
 
1. Wakati mwingine tunajitakia kwa nn ww mwanamke unaenda kwa shoga yako alafu shoga yako amevaa nguo ya kutamanisha kiasi hicho ,hata ningekuwa mm ningetamani kwani maumbile ya mwanamke kwa mwanaume lazima upate hisia kali na kutamani ndivyo wanaume wameumbwa ,sijui kwa upande wako ulikuwa umevaaje nguo gani, ww ni mtu wa kwanza kumvutia mme wako siyo.shoga ndy amuvutie kimahaba....
2. Issue ya punyeto uenda shoga yako amesababisha baada ya kuona maumbile ya shoga yako ni moto moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…