Khaaa aiseeMilioni moja yote unatoa mahari mkuu? Dah, kweli wajinga hawawezi kuisha duniani.
Mahari ni laki mbili na inalipwa kwa awamu nne. Mahari zaidi ya laki mbili hao ni matapeli wanataka kumaliza shida zao kupitia binti yao.
Mnapofunga ndoa lengo ni kutengeneza maisha ya familia yenu sasa iweje mmoja awe kupe mwingine maumivu?
Uongo!Unatoa mahari uhayani wanakwambia ngoja tuangalie kwanza viwango vya Dollar
Kwanza unataka kuoa ili iweje?Wakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Mimi nlienda kulipa mahari huko maswa mtoto wa dada alikua kamchumbia mahari walitaka 6m na kijana ni mtumishi wa halmashauri akaniomba anko tuwalioe tu hiyo ...nkamwambia top 2m hatununui shamba.tulivyorudi ndani nkawaambia 2m kma haiwezekani tuondoke kijana atapata mwingine...waliongea kilugha karibia saa nzima wanaitana nje mwisho wa cku wakapokea pesaSasa wewe ujiingize kuoa Msukuma halafu ulete mahari 1m? Utatimuliwa asubuhi na mapema! Kila mwanaume akaoe kwao, wenye tamaduni zao waachieni!
Ulijitoa ukweni, wewe n mjinga. Kwa ndezi kama wewe kukomolewa ukweni ni kawaida.Wakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran[emoji120]
Msingeaga mngeondoka tuSisi tulipokelewa kwa vipeperushi ambavyo vimeandikwa gharama zote. Binti alikuwa tayari mjamzito hivyo kulikuwa na faini pia ya uhaeibifu. Kupiga hesabu ikawa 5.5M. Kijana akapigiwa simu akasema wabembelezeni. Tukaingia ndani ongea nao wee wale wazee wakakaza. Tu katoka nje tukamwelekeza kijana maana yeye haukwenda. Tukamwambia haya tuma pesa ya kuongeza hapo nae hana. Tukaingia tukaaga kwa kuahidi kuwa Tutarudi wakati mwingine. Hapo ndio wazee wakaanza nasaha. Wakashuka weeh mpaka tukafika sehemu panawezekana😅
Usishangae kukuta mko wawili watatu mnaojikamua kuwaridhisha wakwe. Kila mmoja anapangiwa dau lake. Familia nyingi wanamuona mtoto wa kike kam kitega uchumi. Kukata kwako tamaa ndio kuingizwa mkenge kwa mwingineWakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Hio laki4 uliemtolea alikua ni bikra au ndio haohao panya roadNinesoma replies nyingi nimegundua wengi humu wanalalamika maari kubwa kwa sababu hawana kazi au wanapitia maisha magumu
Mimi ni mchaga kutoka Rombo, nimeoa mmasai. Ni haki ya mzaszi kutaka maharishi ya mwanae, Leo anakuja lofa mmoja na shida zake analalamika kuwa mahari ni kubwa.
Nililipa million 4 na sikulalamika. Fair kabisa
Jifunzeni kuheshimu tamaduji za wengine na wanawake mnaowaoa. Unakuja jamaaa linanunua malaya kwa mwaka linatumia zaidi ya hiyo mahari aliyotajiwa huku linalalama kuwa maharishi ni nyingi
Juzi nimetoka kumkemea mtu kazulimiwq lako na nane na baba mkwe anatangaza kila kona. Mwanaume unatakiwa kuvunga kitu kama hicho unamezea sio kulia kulia lia
Kifupi mwanaume hutakiwi kulia lia umeshindwa kulipa maharishi. Kama umeshindwa pita na njia zako sio kulia kulia au kulaumu wake, AIBU
OkUislamu raha sana kwenye jambo kuoa moja mahari ni ya mwanamke yeye ndio anataja anataka nini kama seti ya sahani sawa kama mkeka wa kuswalia sawa ... Jambo la kuzika na jambo la kuoa limefanywa rahisi na la haraka mno .
Pole mkuu lipa hiyo mahari mambo ya mila ya ajabu ajabu waachie wenyewe
Wakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza
Siku zote tulikuwa tunakwambia ufanye kazi kwa bidii ili upate pesa siku ukija kutajiwa mahari usije kuona unaonewa, ukaona kama na tulikuwa tunakupigia makelele😂Wakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Hio mahar ni zawad ya nini rafiki🤣🤣🤣 Hayo maamuzi ya Kiume sanaa . Unajua kuoa una unganisha udugu, watu wanafanya kama mnauziana binti ,mna komoana then kesho yake bado watakuja na kuombana sijui mjomba hivi, baba vile au naend home kuuguza.
Mahari ni zawadi tu, Sio chanzo cha mapato wala mtaji kwa wazeee.
Huko mahari sio kubwaitakua uchagani
Huyo ndugu anayekushauri uendelee kulipa ama anashirikiana na wakwe zako kaweka Cha juu au ni bumunda!Wakuu habari za muda huu.