Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
K
Khaaa aiseeMilioni moja yote unatoa mahari mkuu? Dah, kweli wajinga hawawezi kuisha duniani.
Mahari ni laki mbili na inalipwa kwa awamu nne. Mahari zaidi ya laki mbili hao ni matapeli wanataka kumaliza shida zao kupitia binti yao.
Mnapofunga ndoa lengo ni kutengeneza maisha ya familia yenu sasa iweje mmoja awe kupe mwingine maumivu?