[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MTIE MIMBA halafu kausha, hudumia mimba azae akiwa kwao, wakileta jeuri TIA MIMBA nyingine, watamleta kwako wao wenyewe tena na gharama za usafiri ni juu yao.
Hii ni nzuri sana.Kuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake.
Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.
Waislamu hawana huo ujingaAcha ubishi.
Kuna waislamu makabila tofauti. Mfano kwa waislamu wa Bukoba kinachoangaliwa Ni Mila za kihaya. Kwa waislamu wa kizaramo uislamu ndio unaangaliwa.
Inategemea binti Ni muislamu wa wapi.
Unategemea muislamu wa kikuria adai mahari ya laki tatu? Au muislamu wa kijaluo adai mahari ya elfu hamsini?
Nenda Musoma hasa mjini kaoe huyo Muislamu kama mahali itapungua 1M niambie nimtume mtu hapo aje ashuhudie anipe mrejesho.Acha ubishi mkuu waislamu hawana mambo mengi kwenye suala la mahari hilo lipo wazi sio mambo ya kusadikika.
Wakuu habari za muda huu
Kijana wenu nina umri wa miaka 28
Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana
Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Mdanganye atadaiwa hadi raha ya ndoa iishe,maana mahari za siku hizi mnaandikishana,naongea kwa uzoefu kwangu mimi na kwa jamaa zanguUsiogope! Unachopaswa kufanya ni kutoa ulichonacho hata kama umeambiwa ni shiling ngapi! Mahari haiishi kulipa.
Naam naam hata Mimi 7M nilikabidhiwa mkononi na mume wangu mtarajiwa halafu mm nikatoa 1M ilobaki nikawabless wazazi.Uislamu raha sana kwenye jambo kuoa moja mahari ni ya mwanamke yeye ndio anataja anataka nini kama seti ya sahani sawa kama mkeka wa kuswalia sawa ... Jambo la kuzika na jambo la kuoa limefanywa rahisi na la haraka mno .
Pole mkuu lipa hiyo mahari mambo ya mila ya ajabu ajabu waachie wenyewe
Msukuma wa wapi acha kuogopesja,hao hadi laki 3 unapata mke,achana na story za vijiweni,juzi nimemtafutia jamaa yangu mke ambaye binti huyo ni mwanafunzi wangu,tulilipa mahari ya laki 7 tuSasa wewe ujiingize kuoa Msukuma halafu ulete mahari 1m? Utatimuliwa asubuhi na mapema! Kila mwanaume akaoe kwao, wenye tamaduni zao waachieni!
Ng'ombe mwanangu! Na hata kwa wale wasio na ng'ombe mahari haipungui 1.5mHivi wasukuma wanawezaje kuoana na uchumi huu
Usukuma ya wapi hiyo mwalimu?Msukuma wa wapi acha kuogopesja,hao hadi laki 3 unapata mke,achana na story za vijiweni,juzi nimemtafutia jamaa yangu mke ambaye binti huyo ni mwanafunzi wangu,tulilipa mahari ya laki 7 tu
Wachaga hawajawahi kuwa na mahari kubwa ndio kabila moja wapo lenye mahari ndogo , ukitoa vitu kama vitenge vya bibi ,shangazi na debe la mbege unachukua msalaba wako.Itakuwa uchagan
Siku hizi wenye binti wakomaa kichizi.... Sijui wanatukomoa tusioe....We unaoa mke au unaoa ukoo.
Baba yangu mzazi ajamaliza mahari ya mama yangu.
Mahari huwa haimalizwi
Unakaza fuvu tu..... Wapo kibao ...... Hata wiki mbili hazijapita jamaa yangu Katoa mahari 2.5M ....Waislamu hawana huo ujinga
Si umesema utalipa kidogo kidogo??Wakuu habari za muda huu
Kijana wenu nina umri wa miaka 28
Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana
Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Si ungeomba msaafu tu au jamvi la kuswalia ..si ndio uislamu.Naam naam hata Mimi 7M nilikabidhiwa mkononi na mume wangu mtarajiwa halafu mm nikatoa 1M ilobaki nikawabless wazazi.