Sikutegemea nilichokikuta ukweni

Waislam wanao fuata sheria hiyo ni wachache sana jaribu kwenda hata Zanzibar tu kuoa ambako uislam umeshamili harafu njoo ulete jibu
Mimi wakati nakata kuoa wife aliniuliza Una kiasi gani sababu nitaulizwa mahari yangu ni nini nataka nitaje ulichokuwa nacho ... Mambo yakaenda hivyo no stress .. wasiojua dini ndio wataingiza mila zao ! Ila kama mwanaume una msimamo wa dini na mwanamke ana msimamo atawashinda tu kwani ndoa itaozeshwa na sheikh .. involve viongozi wa dini wawape darasa wazazi jambo la ndoa na la kuzika halitakiwi kuwa complicated
 
Ndo maana nmekwambia ni waislam wa mtaani kwenu
 
Nashangaa jamaa anavyobisha,kuna jamaa alitaka aoe akaandikiwa kwenye karatasi,mahari mil.1, kilichofuatia wakaandika vikorokoro kibao....
-Blanketi la baba na mama
-mbuzi wawili
-pombe ya wazee
-gunia la sembe
-sukari na majani
-hela ya babu na bibi,hela ya mashangazi na wajomba
-Ulamu(hapa jamaa alikuwa haelewi maana yake nini,akaambiwa maana yake mashemeji)
Vingine waliandika kilugha,hao ni watu wapo katikati ya Pwani na Tanga walikuwa wanafuata mila na desturi tena ni Waislamu. Kuja kupata jumla ilikuwa ni mil.1,290,000, ukijumlisha na mahari ile mil.1 inakuwa mil.2,290,000/=
Jibu alilotoa akasema kama mke basi,huyooo akaenda kanda ya ziwa kapata mwanamke huko
 
Kwa familia yoyote ya kiislam na inayofuata sheria ya ndoa ya kiislam basi mahari anataka mwanamke ... Na ni ya kwake sio ya baba wala mama wala mjomba
Umeongea kweli ila kuna waislam njaa,watamshawishi binti yao ataje mahari kubwa,wao wanataka kuwaiga waarabu,mwanamke wa kiarabu hata aseme anataka mgamia watatu waarabu wanatoa tu,uwezo wanao
 
Ushauri mzuri sana huu
 

Unasaidiaje ukweni kabla hujatoa mahari
 

Usukumani anafukuzwa
 
Kuna madem kibao wanaoleka kwa jiwe sita tu pisi kali na zimetulia, hiyo milion 6 si bora ununue zako ng'ombe wa maziwa upige maziwa wee mwaka mzima alafu mwaka unaofata upige zako nyama choma na vinywaji bariiidi mzigo unaobaki fanya mambo yako mengine😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…