Sikutegemea nilichokikuta ukweni

Sikutegemea nilichokikuta ukweni

Mimi nilishajiwekea sheria mahari mwisho 1M, ikizidi hapo napiga chini. Videmu vyenyewe hivi vya siku hizi unakilipia mahari 8 baadaye unakikuta na njemba kitandani mnaanza kukatana mapumbu na kuuana na mwanaume mwenzio.

Na tunakoendea nitapunguza. Mambo yakizidi kuwa meusi nahamia team kataa ndoa
Nakazia 📌🔨
 
Wakuu habari za muda huu
Kijana wenu nina umri wa miaka 28
Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.

Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom

Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana
Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.

Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.

Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.

Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki

Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.

Natanguliza shukran🙏
Toa pesa ule mbunye kilarahisi.

Ukihesabu ulizohonga zinazidi hapo.
 
Usimuache bila kumshirikisha binti, mwambie wazee wake wameenda nje ya alichoahidi hivyo mchongo uishie hapo.

Ila hizi mambo za mahari zinawaumiza sana watoto wa kike.
Unakuta mwanamke umri unaenda, keshapigwa na pipe za kila rangi.

Kampata kanyaboya mmoja ili walau aolewe sasa, wazazi wanaleta miyeyusho as if ni bikra. Mwisho mpaka kanyaboya anastuka anatoka nduki.

Mara paap 32 yrs hii hapa na chalii mbili kazalia home.
 
Milioni moja yote unatoa mahari mkuu? Dah, kweli wajinga hawawezi kuisha duniani.

Mahari ni laki mbili na inalipwa kwa awamu nne. Mahari zaidi ya laki mbili hao ni matapeli wanataka kumaliza shida zao kupitia binti yao.

Mnapofunga ndoa lengo ni kutengeneza maisha ya familia yenu sasa iweje mmoja awe kupe mwingine maumivu?
Sasa wewe ujiingize kuoa Msukuma halafu ulete mahari 1m? Utatimuliwa asubuhi na mapema! Kila mwanaume akaoe kwao, wenye tamaduni zao waachieni!
 
Kuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake.
Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.
Duu mlikuwa wababe saba aisee
 
Wakuu habari za muda huu
Kijana wenu nina umri wa miaka 28
Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.

Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom

Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana
Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.

Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.

Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.

Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki

Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.

Natanguliza shukran🙏
Kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka Vumilia kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka inuka Vumilia.

Anyways. Hiyo milioni moja walirudi nayo au wameitoa?
 
Kuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake.
Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.
Hahaaa kweli familia yenu imekulia cuba ama north korea kwa mzee wa mabwanga hammbelezi kima akizingua mnazingua 🤣🤣🤣safi sana.
 
Uislamu raha sana kwenye jambo kuoa moja mahari ni ya mwanamke yeye ndio anataja anataka nini kama seti ya sahani sawa kama mkeka wa kuswalia sawa ... Jambo la kuzika na jambo la kuoa limefanywa rahisi na la haraka mno .
Pole mkuu lipa hiyo mahari mambo ya mila ya ajabu ajabu waachie wenyewe
Taja gharama za mahari na mazishi ya dino nyinginezo
 
Mimi nilishajiwekea sheria mahari mwisho 1M, ikizidi hapo napiga chini. Videmu vyenyewe hivi vya siku hizi unakilipia mahari 8 baadaye unakikuta na njemba kitandani mnaanza kukatana mapumbu na kuuana na mwanaume mwenzio.

Na tunakoendea nitapunguza. Mambo yakizidi kuwa meusi nahamia team kataa ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom