Kuna mbunge nilishamsikiaga alichapia akasema 'naunga mkonyo hoja' wabunge walicheka sana alfu spika akasema jaman wabunge 'mdomo hauna ulimi' wakawa hoi tenaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] .... Unakumbuka siku ulishachapia mpaka ukikumbuka unacheka mwenyewe??????