Sikuwa mjinga, niliamini niko sahihi, leo Ndugai amejibu

HII NCHI INA UPUMBAVU MWINGI SANA, MIKATABA YA BANDARI YA BAGAMOYO UMEIONA AU UNATAKA KUSHABIKIA VITU ILIMRADI NA WEWE UJIONE NI MCHAMBUZI WA SIASA.
 
Huo mradi wa Bagamoyo as long as yupo Mchina, sisi wabongo tunapaswa kuutazama mkataba kwa upya neno nadi neno...wale wapumbavu macho madogo wana hila kuliko mwanadamu yoyote juu ya uso wa nchi...
HALAFU YULE MGOGO ANAJIFANYA ALIKUTANANAO KWA BAHATI MBAYA
 
True
Huo mradi wa Bagamoyo as long as yupo Mchina, sisi wabongo tunapaswa kuutazama mkataba kwa upya neno nadi neno...wale wapumbavu macho madogo wana hila kuliko mwanadamu yoyote juu ya uso wa nchi...
 

Asante kwa Ufafanuzi mzuri. Ila ni Durban na siyo Darban. Kumbe nilichokuwa nakihisi kuhusu haya Machafuko huko nchini Msumbiji na baadhi Wafuatiliaji wema wa Masuala nanyi pia mmehisi hivyo hivyo.
 
Ikumbukwe Bunge bado ni la awamu ya tano

Wasituuzie Mbuzi kwenye gunia
 
We yericko yaani kutoa kitabu dar hadi moro ni 8000? Acha wizi
 
Mtu ameshakufa basi muache kumsingizia tena maana hawezi kujibu na si utamaduni wetu,mmemsingizia mambo akiwa hai hiyo inatosha haina haja ya kuendelea kumsingizia hadi akiwa amefariki. Mlimsingizia kachanjwa chanjo ya corona kisirisiri ila alivyokufa mnasema kafa kwa corona,muacheni hizi mambo.
 
MIKATABA IWE REVIEWED NA KAMATI ZA NDUGAI? DO THEY HAVE THE CAPACITY TO DO THAT?
Kwani wananchi huwa hawatoi maoni kamati za bunge zikiwa zina review miswada? Issue hapa ni mkataba kuwa wazi kwa wananchi and since hauwezi tu kutolewa mtandaoni hakuna namna zaidi ya walau kufika bungeni ili tujue content na fall back position zetu.
 
Kasingiziwa nini tena ina maana CAG kafoji namba kumchafua? Kule SGR watu wameongeza interest rate na Kubadili Forex kutumia rate ya siku tofauti na siyo hta ya BOT ili tu hela zizae wapige cha juu. Sasa hapo utasema kasingiziwa?
 
Kuhusu Bandari ya bagamoyo,haujadadavua vzr,kipengere Cha miaka 99,umekuwa shallow sana,
Hati zinatolewa mpka miaka 33,66, na 99 kwahiyo kisheria mwekezaji anaweza kupewa hadi miaka 99. Sasa nashangaa sheria zetu wenyewe ghafla inaonekana kama nchi imeuzwa. Sina details za mkataba lakini kwenye upande wa 99 years hiyo ipo kwenye sheria zetu hta wakatoliki tu kuna maeneo makubwa wame lease for 99 years so sio kitu kipya kwenye utoaji hati.

Na Mradi mkubwa kma huo huwezi toa 33 years ni ndogo sana ku break even au kumaximize capacity ya mradi. So lazma tu wangetoa maximum threshold ya miaka kulease ardhi i.e. miaka 99.
 
Ungepitia Kwanza mkataba neno kwa neno ndo uzungumze hayo yote unless otherwise alieusoma na kutafsiri mkataba anaendelea kuwa sahihi.
 
Huo mradi wa Bagamoyo as long as yupo Mchina, sisi wabongo tunapaswa kuutazama mkataba kwa upya neno hadi neno...wale wapumbavu macho madogo wana hila kuliko mwanadamu yoyote juu ya uso wa nchi...
CCM Kila Siku wanadai kuwa China ni marafiki zetu.... Sasa inakuwaje leo hatuwaamini rafiki zetu wa kweli? Ina maana China na Mabeberu yupi ni bora?
 
Huo mradi wa Bagamoyo as long as yupo Mchina, sisi wabongo tunapaswa kuutazama mkataba kwa upya neno hadi neno...wale wapumbavu macho madogo wana hila kuliko mwanadamu yoyote juu ya uso wa nchi...
Macho madogo wameona fursa ya bwagamoyo for 99yrs mbele. Mchina akisema kila kitu atafanya yeye means huo mradi utakuwa wake mpaka gharama zirudi na kipindi hicho atakuwa amesha exploit mission zake kila kona. Duniani wenzetu wapo kwenye vita vya kiuchumi sasa mchina kaona Africa ndio sehemu anapoweza kupenya kirahisi kwa sababu ya njaa za viongozi wanafiki. Huo mradi kuna %za watu itakuwa sio bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…