Sikuwa mjinga, niliamini niko sahihi, leo Ndugai amejibu

Kuhusu Bandari ya bagamoyo,haujadadavua vzr,kipengere Cha miaka 99,umekuwa shallow sana,

Unatakiwa kujiongeza pia na wewe na kujishughulisha kwa kusoma, sheria ya ardhi inatoa terms za ku lease ardhi iwe kwa mwekezaji ama kwa mtu anaetaka kujenga makazi ambapo sheria imetoa vipindi vya aina tatu ambavyo ni ama 33yrs, 66yrs na cha juu kabisa ni 99yrs.

Ukipewa umilika wa kipindi moja wapo kikiisha inamaana ardhi si yako tena ni mali ya serikali na inabidi irudi serikalini na uombe ku renew kama unakidhi vigezo utapewa na kama hukidhi hupewi inabidi utembee zako.

So hapo naona wawekezaji walipatana kupewa long term lease ambayo ni 99yrs.
 
Mkataba kamau huo umetekelezea huko Sri Lanka na wanalia nao sana.
Leo Tz Mnataka tucheze karata hiyohiyo ya wachina.?
Nasema HAPANA.

Tuwe makini sana katika hili.
View attachment 1748832
Mbona SGR mmekopa? Ila sijasikia watu mkiogopa waturuki kuwapora mradi kma mtashindwa kulipa.

Sri Lanka na mradi wa bagamoyo haufanani kwanini mnapotosha? Huu sio mkopo ni PPP tu na serikali inatoa guarantee basi.
 
Mbona SGR mmekopa? Ila sijasikia watu mkiogopa waturuki kuwapora mradi kma mtashindwa kulipa.

Sri Lanka na mradi wa bagamoyo haufanani kwanini mnapotosha? Huu sio mkopo ni PPP tu na serikali inatoa guarantee basi.
SGR ni mradi ambao umeanzia ndani. si wa mwekezaji.
Huo wa Bagamoyo umeanzia kwa mwekezaji. Ni muhimu na lazima kuwa na idea na uelewa wa motives zake vinginevyo tutajikuta tunapigwa kama Sri lanka, Eritrea na Zambia
 
SGR ni mradi ambao umeanzia ndani. si wa mwekezaji.
Huo wa Bagamoyo umeanzia kwa mwekezaji. Ni muhimu na lazima kuwa na idea na uelewa wa motives zake vinginevyo tutajikuta tunapigwa kama Sri lanka, Eritrea na Zambia
Huyo anadai tumekopa ndio nasema kma hofu ni mkopo mbona hamuogopi kukopa Trillion 10 plus kujenga SGR?

Mradi wa mwekezaji si unakuja kwa PPP na management itahusisha timu ya wachina na watanzania ssa mnachoogopa nini?

Kwanini hamfikirii multiplier effect mnafikiria hasara na nchi kuuzwa n.k

NB: Watu wakiponda ATCL kununua kwa Cash huwa mnakimbilia kutoa mifano ya makampuni makubwa yaliyofanikiwa hku yananunua ndege kwa Cash. Ila likija suala la Bagamoyo utasikia mifano ya miradi iliyofeli mara ooh Sri Lanka!! Utadhani hamuoni successful PPP za port development duniani.

Tuache bias tu focus kwenye mkataba wenye maslahi na pande zote
 
Hata mm kanipa fikra fulani
 
Lete na ww ulivyo jifunza
 
Magufuli alishasema kwenye uongozi wake hawezi uza bandari yetu kwa wachina. Haya kawaachia nchi yenu Sasha na ndugai iuzeni miaka 99 si gharama zote anatoa mchina yani bure kabisaaaa. uzeni kila kitu.
Kwenye hili Ndugai kawa kituko sio kwamba Magu alikuwa sahihi Bali unafiki wake kwenye hoja hii moja kuwa na ndimi mbili.
 
Umeuona na kuusoma huo mkataba?
Kama ndivyo tuwekee hapa unless otherwise hatuwezi kujadili kupitia maoni ya watu!
 
Ujinga tu.

Wewe mwenyewe umeandika juu juu tu bila ya kuandika masharti yote kama yalivyo. Unataka kuwa na likitu kubwa lisilofaidisha nchi la kazi gani..

Kama zuri wacha hao msumbiji wafaidi.
 
Ujinga tu.

Wewe mwenyewe umeandika juu juu tu bila ya kuandika masharti yote kama yalivyo. Unataka kuwa na likitu kubwa lisilofaidisha nchi la kazi gani..

Kama zuri wacha hao msumbiji wafaidi.
Na wewe huna akili ndio maana haya mambo yanakuzidi akili.

Economic laverages za mradi unazijua au unaropoka? Uwekezaji wa tilioni 23 usifaidishe nchi,are you mad?

Kwani Tzn ndio nchi ya kwanza kufanya mradi wa hivi hapa Duniani?

Kuna bandari za ukanda huru nyingi tuu na huu ungeivuta Sana sekta ya biashara ya usafiri na viwanda

Hata hako ka sgr kanakostruggle mchina angejenga kwa PPP bila kuufinya uchumi na kudidimiza maisha ya watu kwa kuwakamua kwa makodi ya kisenge
 
Ujinga wenu hivi munatofautisha blog na makara za mageti? Yaani unakuja hapa una paste pages lukuki kiadi hiki, ina maana post za wengine tusisome? Jifunzeni kuandika abstract.
 
Mkuu unajua maana ya $10b? Hiyo ni 23t Tshs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…