Mwaka 1961 wakati Tanzania inapata uhuru nilikuwa sijazaliwa, hivyo nilikuwa sijuhi nini maana ya kutafuta uhuru na transition ya kutoka utawala mmoja kwenda mwingine nilikuwa sijuhi ikoje,
lakini leo nachelea kusema ninashuhudia nchi yangu ikikombolewa kwa mara ya pili, baada ya kutekwa na wabinafsi na Mafisadi, ningependa kuchukua nafasi hii kumpongeza kila Mtanzania aliyeshiriki vita hii iliyokuwa ikiongozwa na Jemedali Dr Slaa akisaidiwa na Zitto, Mbowe,Marando,Shibuda,Baregu,Ndesa, SEBODO, na wengineo
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania Mpya