Elections 2010 Sikuwa na Bahati hii 1961

Elections 2010 Sikuwa na Bahati hii 1961

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Posts
9,555
Reaction score
9,357
Mwaka 1961 wakati Tanzania inapata uhuru nilikuwa sijazaliwa, hivyo nilikuwa sijuhi nini maana ya kutafuta uhuru na transition ya kutoka utawala mmoja kwenda mwingine nilikuwa sijuhi ikoje,

lakini leo nachelea kusema ninashuhudia nchi yangu ikikombolewa kwa mara ya pili, baada ya kutekwa na wabinafsi na Mafisadi, ningependa kuchukua nafasi hii kumpongeza kila Mtanzania aliyeshiriki vita hii iliyokuwa ikiongozwa na Jemedali Dr Slaa akisaidiwa na Zitto, Mbowe,Marando,Shibuda,Baregu,Ndesa, SEBODO, na wengineo

Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania Mpya
 
Mimi pia nilikuwa sijazaliwa sasa nafurahi mpaka machozi yananitoka! New generation
 
Back
Top Bottom