Mkuu bora uwakumbushe maana ni wepesi wakusahau,,,kama si wepesi wakusahau basi wanakulupukaVideo: Mayweather, Siwezi kusaidia Afrika kwa sababu haina mchango wowote kwenye mafanikio yangu
Mtoa thread umesema utamshabikia mayweather sababu amepata kadhia ya ubaguzi UK nakukumbusha huyo mayweather aliongea shit kuhusu Africans wakati yeye ni Black
Huyu jamaa nyodo zake ,misifa zake haki yake kubaguliwa
Hata mm nimefatilia promotion ya this time nomegundua matokeo washayapanga tayar na this time haitakuwa na mvuto km ya last timeMapambano ya Mayweather ni ya hovyo sana kwani matokeo hupangwa ili kutengeneza hela.
Ila kwa ubaguzi alioonyeshwa najilazimisha kuwa upande wake.
Hivi hawa si ndo walinyonyana ndimi hadharani juzi!?
Post sent using JamiiForums mobile app
Wazungu ni kama nyumbu, watamzomea alafu ktk pambano lenyewe Mayweather ashinde apigwe watamlipa mpunga mwiiiiiiingi zaidi ya huyo white!Sikuwa naumiza akili zangu kuhusiana na ubaguzi wa ngozi kwani sikuona umuhimu wowote na faida yeyote. Kuna pambano la ngumi litafanyika August 26 kati ya mwana masumbwi kijana Mayweather na Conor McGregor. Wameanza kulitangaza onyesho hilo kwa ubunifu na maandalizi ambao kwa kweli wezetu wako juu sana. Matangazo yao ni live wakiambatana na wanamasumbwi hao pamoja na timu zao. Walianzia Las Vegas na ukweli hapakuwa na ubaguzi wowote (Hongera USA). Jana walikuwa London na hapo ndipo nilishuhudia kila ishara za ubaguzi toka kwa kadamnasi huku Mayweather akiwa amempa nafasi kubwa McGregor kuongea bila kuingilia hadi alipomaliza. Si hivyo tu McGregor alitumia lugha za kukashifu Uafrika (rangi nyeusi) huku akishangiliwa kama vile anafanya jambo sahihi. Nilikuwa Team Manpac sasa nahamia kwa black mwezangu Mayweather.
NB; Mugabe usilegeze kamba.
Sukumaland
Mike Tyson mpaka anastaafu hajawahi kukashifu au kudharau kuhusu Africans. Kama kuwa na mdomo mchafu (maneno ya kuudhi) ni sifa angewatukana wazungu hapo ningemwita "mwamba"Umeelewa nilichoandika? Sifa mojawapo ya wanamasumbwi au wanamieleka ni kuwa na mdomo mchafu (maneno ya kuudhi) sasa nyondo za Mayweather na ubaguzi wa rangi vinaingiliana vipi? Ingia hata YouTube kama hukuangalia live uone yaliyokuwa yanaendelea. Baloteli amekuwa akikubwa na ubaguzi je nayeye ni Mayweather?
Sukumaland
Kama huwezi kumjaji mtu kwa kauli zake sasa kwanini umemjaji uyo mpiganaji mzungu kwa kauli zake?Siwezi kumjaji mtu kwa kauli zake, Mayweather ashawahi kukorofishana na kutaka kuzipiga na baba yake Gym. Nazungumzia kauli za kukashifu Uafrika na sio tabia ya TMT ya Mayweather
Sukumaland
Mimi simpendagi mayweather tangu anakuja Wwe mtoto mdogo anataka kupigana na big show...
halafu jamaa ana dharau kishenzi...
wacha abaguliwe Mr showoff[emoji16][emoji16]
sisi tushazoea kubaguliwa ndio maana tuna bara letu binafsi....
kama tumechoka ubaguizi tuanzishe vita[emoji23][emoji23]