Sikuwa shabiki wa Mayweather ila ubaguzi aliofanyiwa UK nahamia team yake

Sikuwa shabiki wa Mayweather ila ubaguzi aliofanyiwa UK nahamia team yake

Mapambano ya Mayweather ni ya hovyo sana kwani matokeo hupangwa ili kutengeneza hela.

Ila kwa ubaguzi alioonyeshwa najilazimisha kuwa upande wake.
Hata mm nimefatilia promotion ya this time nomegundua matokeo washayapanga tayar na this time haitakuwa na mvuto km ya last time
 
Sawa mzee weye hama 2. Nasema hivi,,,,,nitaendelea kumshabikia Man p. Huyo misifa ctaki kuckia news zake.nyambaff kabisssa.


M2 mwenyewe anapata ushindi kupitia migongo ya wazungu,,,,,,,,Walichomfanyia Man p kwenye lile pambano sitosahau,,,na sio hilo tu nk . Acha na yeye abaguliwe,,,,malipo hapahapa duniani muzee.
 
Huyu jamaa hamuoni anavyowanyanyasa watu masikini kwa vitendo vya kijinga kisa ana pesa? Sipendi ubaguzi wa aina yoyote, lkn kumnyanyasa mwingine kisa una mzidi pesa ni sawa na ubaguzi. Mayweather anajitafutia maadui yeye mwenyewe.. Anaonyesha ujinga wa mtu mweusi anapobahatisha mafanikio.
Pale ulaya na Marekani kuna watu wana pesa kuliko yeye lkn hawana matendo ya kijinga km yake...acha wamfanyie wanavyopenda ili kuzima hasira za matendo yake.
 
Kuendelea kuitwa Mayweather ni ishara kwamba hajatoka utumwani acha abaguliwe tu.
RIP Malcolm X
 
Sikuwa naumiza akili zangu kuhusiana na ubaguzi wa ngozi kwani sikuona umuhimu wowote na faida yeyote. Kuna pambano la ngumi litafanyika August 26 kati ya mwana masumbwi kijana Mayweather na Conor McGregor. Wameanza kulitangaza onyesho hilo kwa ubunifu na maandalizi ambao kwa kweli wezetu wako juu sana. Matangazo yao ni live wakiambatana na wanamasumbwi hao pamoja na timu zao. Walianzia Las Vegas na ukweli hapakuwa na ubaguzi wowote (Hongera USA). Jana walikuwa London na hapo ndipo nilishuhudia kila ishara za ubaguzi toka kwa kadamnasi huku Mayweather akiwa amempa nafasi kubwa McGregor kuongea bila kuingilia hadi alipomaliza. Si hivyo tu McGregor alitumia lugha za kukashifu Uafrika (rangi nyeusi) huku akishangiliwa kama vile anafanya jambo sahihi. Nilikuwa Team Manpac sasa nahamia kwa black mwezangu Mayweather.
NB; Mugabe usilegeze kamba.

Sukumaland
Wazungu ni kama nyumbu, watamzomea alafu ktk pambano lenyewe Mayweather ashinde apigwe watamlipa mpunga mwiiiiiiingi zaidi ya huyo white!
 
Kwa upande wangu ni heri nimshangilie mzungu anayenijali na kuijua thamani yangu na Africa kwa ujumla... Kuliko kumshobokea mateka asiyenijali wala kunithamini mimi na Africa kwa ujumla.
Kwanza alishawahi kusema "Siwezi kuisaidia Africa kwasababu mm sio mwafrica na kwanza Africa imenisaidia nini?"
Daah! Watu wana jeuri kwasababu ya pesa. Kiufupi huyu jamaa anamaringo na anaringa kupita kipimo...Sio wa kuungwa mkono huyu!

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Umeelewa nilichoandika? Sifa mojawapo ya wanamasumbwi au wanamieleka ni kuwa na mdomo mchafu (maneno ya kuudhi) sasa nyondo za Mayweather na ubaguzi wa rangi vinaingiliana vipi? Ingia hata YouTube kama hukuangalia live uone yaliyokuwa yanaendelea. Baloteli amekuwa akikubwa na ubaguzi je nayeye ni Mayweather?

Sukumaland
Mike Tyson mpaka anastaafu hajawahi kukashifu au kudharau kuhusu Africans. Kama kuwa na mdomo mchafu (maneno ya kuudhi) ni sifa angewatukana wazungu hapo ningemwita "mwamba"

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Mimi simpendagi mayweather tangu anakuja Wwe mtoto mdogo anataka kupigana na big show...
halafu jamaa ana dharau kishenzi...

wacha abaguliwe Mr showoff[emoji16][emoji16]

sisi tushazoea kubaguliwa ndio maana tuna bara letu binafsi....
kama tumechoka ubaguizi tuanzishe vita[emoji23][emoji23]
 
Siwezi kumjaji mtu kwa kauli zake, Mayweather ashawahi kukorofishana na kutaka kuzipiga na baba yake Gym. Nazungumzia kauli za kukashifu Uafrika na sio tabia ya TMT ya Mayweather

Sukumaland
Kama huwezi kumjaji mtu kwa kauli zake sasa kwanini umemjaji uyo mpiganaji mzungu kwa kauli zake?
 
Mimi simpendagi mayweather tangu anakuja Wwe mtoto mdogo anataka kupigana na big show...
halafu jamaa ana dharau kishenzi...

wacha abaguliwe Mr showoff[emoji16][emoji16]

sisi tushazoea kubaguliwa ndio maana tuna bara letu binafsi....
kama tumechoka ubaguizi tuanzishe vita[emoji23][emoji23]

😀😀😀😀😀 nakukubali my princess ariana

Well said
 
Uliposema tu black mwenzangu na ww umeingia kwenye ubaguzi mkuu....ubaguzi wa rangi ni broad term[emoji2][emoji2]
 
Mchukie Floyd lakina anapiga Helaaa
5ae5bdbf4f8e44483b7e38f50844eca8.jpg


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Namwelewa sana Antony Joshua ktk mabondia wa sasa. Kwa hili pambano namsupport huyu muhuni Mayweather na ujanja ujanja wake.
 
Back
Top Bottom