Sikuwahi fikiri hata siku moja kuwa nitakuja kulia kwa ajili ya mwanamke leo yamenikuta

mkuu sifa kuu za wanawake wa huko:
mngoni=mgoni
ungoni=ugoni,ukiona nimekaa kimya nimekubali ,nipigage mtama,nidondosage zambi zote za kwako.
Hii balaa zito kwakweli mkuu
 
avatar yako MBOGA TZ{mchicha,viazi vitamu,firigisis etc}


uandish wako{ ko,alivoenda,nililia machozi}





hapa kuna harufu ya ubwabwa😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
Kung fu panda, Mkuu sijakulazimisha kusoma mambo ya ubwabwa yanatoka wap unanita bwabwa umezibitisha hilo, acha ujinga citaki nikutolee maneno machafu
 
Nilichogundua haka ni katoto ka form two kapo bwenini na smartphone
 
Sisi wanaume tusiolialia tunacoment wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…