Sikuwahi fikiri hata siku moja kuwa nitakuja kulia kwa ajili ya mwanamke leo yamenikuta

Hivi mnaoandika Ko badala ya So hua mnawaza Nini? Mwanzo nilikua naona kwa binamu yangu ila katika lugha yetu ya asili Ko ina maana hivyo nikadhani hajui lugha.

Siku alivyoniambia anamaanisha So ndiyo nagundua na wanaume kibao wanaandika hivi hivi.
Watu wa kusini Hawa Kuna ko na ndo
 
Nimeshindwa kumalizia kusoma, nimelia sana, aliyemaliza kusoma atani PM.
 
Hivi mnaoandika Ko badala ya So hua mnawaza Nini? Mwanzo nilikua naona kwa binamu yangu ila katika lugha yetu ya asili Ko ina maana hivyo nikadhani hajui lugha.

Siku alivyoniambia anamaanisha So ndiyo nagundua na wanaume kibao wanaandika hivi hivi.
Kuna demu mmoja xx na xoxo etc lakini kapata div 1.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu unaandika huku unamuwahi??unakimbilia wapi??dalili mbaya mno hio kaka kwamba dem analia na wewe unalia??chukua hatua mapema maana huko songea sifa yao kubwa inajulikana usije ukatafuta kamba[emoji23][emoji23]
Jamaa ana andika huku anakimbia ..noma sana
 
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 Nimecheka kwa herufi kubwa Mwanaume mzima unalia na Mwanamke kwa pamoja lisaa lizima sasa hapo ni nani alikuwa Mwanaume? Halafu sipendagi mtu akitumia Ko.
 
Mpe miezi miwili akiendelea kukutafuta mfuate umuoe wanawake ni.mabingwa wakusahau we acha
 
Umri wako n kati ya miaka 20-25,haukatishi hapo
 
Umenifurahisha sana brother ulilia saa moja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umri wako n kati ya miaka 20-25,haukatishi hapo
 
Story zingine muwe mnatuwekea video kusoma tushachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…