Sikuwahi fikiri hata siku moja kuwa nitakuja kulia kwa ajili ya mwanamke leo yamenikuta

Hongera kwa kupendwa ila ujue mapenzi hayanaga Formula, ni hesabu unaambiwa utafute X wakati unaiona, kumbe kuna mtego mbele be carefully man
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha tu. Hata mimi nilikuwa mgumu.
Lakini nimempata mmoja huyo.nampenda balaa.
Katika wanawake wangu wote.
Hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kunipeleka kupima. Nikiambiwa kupima nakuwa mkalii.
Lakini huyu aliniambia twende na mimi mwenyewe nikaongoza njia.
Huyu mwanamke nikiwa nae kitandani nakuwa na furaha sanaaaaa na amani juu.
Pia wanawake wangu hawajawahi kuthubutu kunituma. Lakini huyu ananiambia kaniletee chips na ninaenda bila ubishi.
Kwa hyo kuna wakati mwanaume unashikwa kwelii
Namsubiri, sijawai kumpata huyo mwanamke na uzee wangu wote huu[emoji848][emoji848]
 
Na mtaachana tu we subir uone!!
 
Huo ni utoto tu hakuna kitu hapo.
 
hv Tanzania ya viwanda tutafika kweli kwa machungu haya ya kulia saa moja?? nakuuliza ww mleta uzi
 
Pathetic writing.

What is KO.

Tanzania bado sana kama hawa ndio vijana wetu
 
Mzee baba nikikumbuka viuno vile bac tu kweli nimekamatika afu papuchi tamu balaa cijui wanapaka nini wale watu
Kumbe umempendea papuchi

Penzi lenu limejengwa katika msingi wa papuchi na papucha[emoji3]
 
Hivi nani mwingine amegundua aliyeandika huu uzi ni andaeitini
Mi hapa... maana hayo mapenz yamenikumbusha wayback sana.. tena enz za barua... lakn for now mtu mzima na majukumu yako huwez kulia lisaa limoja kisa mtu anaenda songea tu hapo... je angekuwa anaenda nchi zenye passport na visa.. si angeokota makopo huyu mtoa mada ndgu mboga TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…