Sikuwahi fikiri hata siku moja kuwa nitakuja kulia kwa ajili ya mwanamke leo yamenikuta

jf kuna shida kubwa sana ya uandishi ,

ko ndio nini? , knock out au????
halafu bado watu hawajui matumizi ya R na L, hivi tatizo nini jamaniiiii!!!!!????? [emoji29][emoji29][emoji1751][emoji1751][emoji1751]
 
Tumeshapoteza nguvu ya Taifa,very sad!
 
Mkuu kuna mwenzako ana mwandiko kaa huu,kwan mna undugu,au mlisomea nucta nundu?😄
 
Hahahaaa duh
 
Subiria apate baharia hapo mji kasoro ndio utajua kumbe huwa vilio vyao ni ubatili mtupu. Ni swala la muda tu kabla hujashuhudia kupotezewa kimawasiliano, kila ukipiga number iko busy mara kwa mara ila wewe hupigiwi wala kupokea text. Hidden last seen and ticks blued up! 🤣🤣🤣🤣🤣

Wanawake ni viumbe wanafiki sana jiandae kulia zaidi. Kuna mwanangu nae alikuwa na mama ya kingoni toka mtaa wamekuwa Songea pamoja ila chuo akapangwa IAA mama iko Ushirika. Alichofanywa,,,heee wacha nikae kimya
 
Dogo wewe bado kinda sana kwenye uwanja wa mapenzi, demu analia na wewe mwanaume unalia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kumpa presha mwenzio!..ila jamaa kanikumbusha mbali sana kwenye hyo part ya kulia pamoja,hakika m1 huwa analia kiunafki tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii story inavutia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kumpa presha mwenzio!..ila jamaa kanikumbusha mbali sana kwenye hyo part ya kulia pamoja,hakika m1 huwa analia kiunafki tu
Hahahaa hapo inabd na ww ulie kumpa moyo mwenzako kua mko pamoja....

Ila mambo ya kulia kwa ajili ya mapenzi ni ya kizamani na kitoto sana unless kama mko andaeitin bas inaeleweka
 
Kwaiyo mkuu umeona utuwakilishe cio.maana unasema tunadanganya tuliyosema hatujawai kulia kwa ajili ya mapenzi.ko usituwakilishe bila ridha zetu. Mzee wa mboga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kumpa presha mwenzio!..ila jamaa kanikumbusha mbali sana kwenye hyo part ya kulia pamoja,hakika m1 huwa analia kiunafki tu
Hahahahah usiombe yani, mi huwa hata nikisafiri tu roho inauma najua mabaharia watamsalandia mpenzi wangu na wengine wanaweza kumnyapia kabisa kibingwa.
 
Hata ukiwepo mahabaria wanasalandia tu[emoji23]....Ila naye roho itakuwa inamuuma pia akifikiria Extrovert wake unaweza ukakutana na vimwana huko na kuvifukuzia au kuvitafuna kabisaa

Hahahahah aisee umentia machungu, ngoja nitafte mama nikate wenge kidogo, maana nawaza naeza nikapangiwa kazi Mkoa wa jirani hapo sijui itakuwaje.

Maana ukishatoa mguu tu mwanamke anjitawala maana anajua huwezi rudi. Anajimwaya mwaya na yule aliekuwa anamtia vocal whatsapp.
 
Ukikolezwa na ukakolea unaweza jikuta unalia tu ukiona penzi lako lipo icu,ila ikitokea ukapigwa matukio endlessly akili inakurudi na kamwe hutolia tena kuhusu mapenzi
Hahahaa hapo inabd na ww ulie kumpa moyo mwenzako kua mko pamoja....

Ila mambo ya kulia kwa ajili ya mapenzi ni ya kizamani na kitoto sana unless kama mko andaeitin bas inaeleweka
 
Solution ni kutembeleana frequently na kutia nia bila hivo upweke utawatafutia solution automatically!....i guess u know how vicious circle pops!

Hidden last seen and blued ticks left unattended....hapo picha linaanza[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…