Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
halaa aaah a haha hayaNadhan unajitetea ili kifunika sifa ya wachaga ya flat screen
Mbona umenikalia kwa koo. tulishakubaliana tutaambiana Misa ya usiku sasa nn tenatuambie sukari ninini Da flora from your post
Ndio huyu?Sifa zote nikadhani mtoto mkali wa kutunyima usingizi wadada mjini hapa,looooh!
...kasifiwa UVUNGU na BASTOLA!...we na shepu yako ya kihindi vitak.o vimesinyaa kama unaogopa sindano lazima u-hate!
Unalo!
Dah,jamaa kweli ajipange,
Maana haya mashambulizi nliyojipanga nayo 2016,sijui kama baby Yvoner atachomoka.
hiyo profile picha yako mpaka sasa bado nacheka, aliyepiga hiyo picha ni fundi naomba mpe hongera yangukama sijakuelewa?????
Hujachoka kunizidi mimi,hizo sifa alizomwagiwa hadi nilitetemeka nikifikiri ni kabinti kamoja kakali balaaa....teh teh teh teh teh teh teh nilipofika kwenye hii picha nimechoka sana...
Kweli the beauty is in the eyes of the beholder..
Wew ni kipofuShadee
Hahahaa ila wewe wenzio wamesifia uvungu na bastola,sura ya kawaida tu kwakweliDuuh..Huyu hata nikipewa nyongeza still nahisi nimezulumiwa
Ndio huyu?Sifa zote nikadhani mtoto mkali wa kutunyima usingizi wadada mjini hapa,looooh!
Sure.......Kila macho na upeo wake eti. So upeo wa macho ya mkubwa umeishia hapo