Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

Clouds ni clouds tu...Wamefikisha miaka 16 wanasema sorry...sasa sijui sorry ya nini?? Tbc and other media wameachieve better than wao lakin wako poa..Sasa wakifikisha miaka 50 cjui watasemaje??? Somehow wanaboa..nkisia hiyo jingle nahamisha channel...khaaa!! Huyo mdada we mleta uzi unaemsifia nkajua ni mtoto mkali kumbe mmmh
 
Wakati mwengine thread inaletwa ikisifia ila nia nzima ya huo uzi ni kupata watu watakaopakaza maana huwa hawakosekani. Huyo ni mke wa mtu basi angalau tuwe na staha kwa wanandoa wahusika.
 
Ndio huyu?Sifa zote nikadhani mtoto mkali wa kutunyima usingizi wadada mjini hapa,looooh!

weka na wewe " nyago " lako ili tukupimie na isije ikawa ni mbwembwe zako tu humu lakini una sura mbaya utadhani kashata za tairi za caterpillar.
 
Dah,jamaa kweli ajipange,
Maana haya mashambulizi nliyojipanga nayo 2016,sijui kama baby Yvoner atachomoka.

na wewe pia jipange na jiandae zaidi kuchomolewa hayo " marinda " yako na " masela " kwa kutaka kumbandua huyo mke wa mtu.
 
Wekeni picha na sisi tuchangie, isiwe kama sifa tu za cleopatra alikuwa mwanamke mzuri sana huko Misri lakini hakuna picha.
 
teh teh teh teh teh teh teh nilipofika kwenye hii picha nimechoka sana...

Kweli the beauty is in the eyes of the beholder..


Hujachoka kunizidi mimi,hizo sifa alizomwagiwa hadi nilitetemeka nikifikiri ni kabinti kamoja kakali balaaa....
Duuuh!

Sure......
 
Ndio huyu?Sifa zote nikadhani mtoto mkali wa kutunyima usingizi wadada mjini hapa,looooh!

Kila macho na upeo wake eti. So upeo wa macho ya mkubwa umeishia hapo
 
Back
Top Bottom