Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

Ni huyu?
 

Attachments

  • image.jpeg
    22 KB · Views: 123
Haya sasa
 

Attachments

  • image.jpeg
    10 KB · Views: 92
Malaya wa kiume utawajua macho juu kama wamebanwa na mlango kisa kaona mke wa mtu acheni tabia zenu mbaya nyie Sio kipimo cha wanawake wazulu
Kwani kwenye mashindano ya mamiss majaji huwa ni wanawake wenyewe au huwa ni wanaume?
 
Hello guys i need your help,, nimepungukiwa laki na kidogo kwa ajili ya shule,, kwa atakae guswa please
 
Uzuri wake upo wapi sasa wakati mtu mwenyewe bonge kila sehemu labda sura tu lakini viungo vingine bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…