Huyu atakuwa sio wa kiviiiiiile hapo chiniMLETA UZ AMEFAHILIA HIPS SIJUI UVUNGU HEBU UKIWEZA TULETEE FULL PIX SAMAHAN LAKIN
we anahips huyu mama aiseeHuyu atakuwa sio wa kiviiiiiile hapo chini
Aaah? Basi na mambo ingine itakuwa tamuwe anahips huyu mama aisee
Ng'ombe hazeeki maini.Kazeeka sasa tofauti na wakati akiwa mtangazaji eatv na east african radio.
Wakati huo wa sister dread.
Sister Dread miaka ya 1999 EA Radio alipiga kibao flani hivi cha UB-40 The Things you do mpaka Leo hakinitoki,kikipigwa nakumbuka long tym nakula nyanga mpaka zinaomba poooo.Kazeeka sasa tofauti na wakati akiwa mtangazaji eatv na east african radio.
Wakati huo wa sister dread.
Bila picha hata haipendeziMtangazaji wa clouds media group Babie Kabae ana " UVUNGU " wa haja na " BASTOLA " za uhakika hivi hadi anafikia hatua anasababisha watu tunaacha kuko centrate katika kusikiliza taarifa zao muhimu na muda wote tunamkodolea yeye tu. hakika Mwenyezi Mungu anastahili SIFA zake na si vibaya nikisema shikamoo kwa Babie Kabae.
Nilikuwa najiuliza kwanini Wanaume huwa wanafikia hadi hatua ya kuhonga majumba ya thamani, gari za thamani na pesa nyingi ila kwa muonekano mzuri wa huyu mtangazaji sasa nimeshapata jibu. hongereni sana clouds tv kwa usajili wenu huo wa uhakika wa huyo Babie Kabae na uliovunja rekodi na hakika hatubanduki katika kipindi chenu cha 360.
Yule chinga aliyekuwepo awali hapo 360 sasa kapotelea wapi?
Yeah enzi hizo alikuwepo na Baba T yule mzee rasta matata wa EA Radio na kule Magic FM alikuwepo rasta mmoja sijui Kaluta au some body Warioba nimemsahau walikuwa wanakamua Reggae za hatari, na EA huyo mdada Sister dread alikuwa anagonga sana hizo reggae hasa zile Sweet reggae.Sister Dread miaka ya 1999 EA Radio alipiga kibao flani hivi cha UB-40 The Things you do mpaka Leo hakinitoki,kikipigwa nakumbuka long tym nakula nyanga mpaka zinaomba poooo.