Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

Sikuwahi kujua kuwa mtangazaji Babie Kabae wa Clouds TV ni mzuri hivi..!

Nikajua anamshinda Shamila Mlacha wa Capital Radio!!!! Kumbeeee mademu aina hii hata huku kwetu Madongokuinama mbona wapo sana!!!
 
Malaika eng wa wiring ya akili alikuwa makin lakin malaika eng wa ujenz wa mwili alipachika pachika tu udongo Mungu akamwamin akautia uhai......
 
Kuna mtangazaji mmoja mdada wa ITV kama hajaolewa nitamuoa hata kwa Risasi. Sijawahi kumwona akivaa pete kidoleni.

Atake asitake nitamuoa !!!
 
Kazeeka sasa tofauti na wakati akiwa mtangazaji eatv na east african radio.

Wakati huo wa sister dread.
 
Kazeeka sasa tofauti na wakati akiwa mtangazaji eatv na east african radio.

Wakati huo wa sister dread.
Sister Dread miaka ya 1999 EA Radio alipiga kibao flani hivi cha UB-40 The Things you do mpaka Leo hakinitoki,kikipigwa nakumbuka long tym nakula nyanga mpaka zinaomba poooo.
 
Mtangazaji wa clouds media group Babie Kabae ana " UVUNGU " wa haja na " BASTOLA " za uhakika hivi hadi anafikia hatua anasababisha watu tunaacha kuko centrate katika kusikiliza taarifa zao muhimu na muda wote tunamkodolea yeye tu. hakika Mwenyezi Mungu anastahili SIFA zake na si vibaya nikisema shikamoo kwa Babie Kabae.

Nilikuwa najiuliza kwanini Wanaume huwa wanafikia hadi hatua ya kuhonga majumba ya thamani, gari za thamani na pesa nyingi ila kwa muonekano mzuri wa huyu mtangazaji sasa nimeshapata jibu. hongereni sana clouds tv kwa usajili wenu huo wa uhakika wa huyo Babie Kabae na uliovunja rekodi na hakika hatubanduki katika kipindi chenu cha 360.

Yule chinga aliyekuwepo awali hapo 360 sasa kapotelea wapi?
Bila picha hata haipendezi
 
Uzuri wa kitu upo machoni na kwenye fikra za mtu..!
 
Sister Dread miaka ya 1999 EA Radio alipiga kibao flani hivi cha UB-40 The Things you do mpaka Leo hakinitoki,kikipigwa nakumbuka long tym nakula nyanga mpaka zinaomba poooo.
Yeah enzi hizo alikuwepo na Baba T yule mzee rasta matata wa EA Radio na kule Magic FM alikuwepo rasta mmoja sijui Kaluta au some body Warioba nimemsahau walikuwa wanakamua Reggae za hatari, na EA huyo mdada Sister dread alikuwa anagonga sana hizo reggae hasa zile Sweet reggae.
 
Back
Top Bottom