Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Haya majibu sasa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye anadai ccm hela ya kofia za uchaguzi 2015, ndio anachomiliki kwa sasa
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya majibu sasa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye anadai ccm hela ya kofia za uchaguzi 2015, ndio anachomiliki kwa sasa
lete ushahidiAnza kutembea uchi kwasababu ni yake
Sio yake lakini ana hisa za kutosha. Kwa mujibu wa TCRA, anamiliki 45% ya share! Kwa rika lake, na alipoanzia, kwangu mimi naona ni big success.lete ushahidi
sasa hisa 45 jina la wasafi lake pia, inakuaje siyo yake. Hata leo hii toa wazo la biashara fulani lenye tija, watakuja washika dau wataweka mzigo maisha yanaendeleaSio yake lakini ana hisa za kutosha. Kwa mujibu wa TCRA, anamiliki 45% ya share! Kwa rika lake, na alipoanzia, kwangu mimi naona ni big success.
hatimae kaupataAmeahidiwa ubunge 2020
Hata mimi pia,..... Zamani nilikua NAJUA Wamiliki ni #WCB WASAFIView attachment 804614
Kwenye documnets za TCRA inaonekana mmliki ni mtu anaitwa Joachim Lusana Buyobe ambapo ndio mmiliki wa Geita online TV.
Je, huyu mtu yupo kweli ama Shigongo ametumia jina tu kukwepa kuonekana kwake?