ibilisi mie huwa natumia nikiwa popote pale sema tu huwa huichungulii simu yngu. kesho jaribu kufatilia [emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.

mkuu STUNTER fanya ivooo siku nikikubamba na t-shirt yako nitacheka sana kwa post zakoMimi Ninampango wa kuchapisha T-shirt ya User-name yangu Ili Watu wanijue vizuri,,,hope soon utaniona
unavyosema mjamaa unamaanisha miss natafuta ni kidume cha mbegu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nakumbuka nilishawai kumuona jamaa mmoja cafe anajiita miss natafuta
nilicheka sana [emoji23][emoji23]
MKUUHuwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
Humu tumejaa majini tu wewe binadamu huwezi kutuona labda uje kwetu ujinini. teh teh tehHuwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
Hata mimi hunioni mkuu?Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
Ha ha ha ha ha haaaaaaNilikuwa nimetoka nimerudi tena kujibu comment yako Mkuu
Kingine humu JF wamejaa maafisa usalamaHuwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
hata mimi jamaa sijawahi ona mtu anachst jf..tokea naijua jf mwaka 2010Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
ndo ww na io bikin????Mie niko Iramba,weye uko wapi?